Nani zaidi? Kati ya Irene Uwoya na Jacqueline Wolper

Fukara

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,625
927
Wadau hawa warembo wetu wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Jaqueline, nani mrembo zaidi ya mwenzake? Ki mvuto, thamani katika jamii. Tunguke hapa nani anamzidi mwenzake katika nyanja tofauti?

My take; Irene Uwoya ni mrembo zaidi kimuonekano lakini Wolper she's more expensive than Uwoya. Wewe unaonaje mdau?
 
Irene ni mzuri ila kwangu wolper namkubali,mi napenda wanawake wembamba yaani mifupa
 
Upo sahihi mkuuu.

Kiukweli thaman ya mwanamke inaongezeka kutokana na mambo anayo yafanya. Kuna mabinti ni wa kawaida but way wanavyo enenda mtu unavutwa hatari.

sawa lakini leo tuwajadili hawa wawili.
 
ni kweli yani.unafikili kwa nini wolper ni expensive zaidi..

Kwasababu ana Show Off nyingi sana!anapenda sana kupiga picha ambazo ni za kisasa,anafanya kazi yake ya uigizaji ipasavyo kwamaana kwamba anatambua kuwa uigizaji ni kazi yake kubwa,vilevile ana movie nyingi sana sokoni tofauti Irene.
 
Back
Top Bottom