Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
- Thread starter
- #21
Kweli wewe mfuatiliaji ila wamefanya makosa makubwa sana kugombana na Matt Damon, kuna watu wako irreplaceable (mfano Roger Moore kwenye James Bond)
Trela: The Bourne Legacy - Official Trailer 2012 - Movie Trailer - HD - YouTube
Halafu ni longo longo sana, eti wanasema THERE WAS MORE THAN ONE , kwani hatujui - si ndio maana walikuwepo waliotumwa kumuua Jason Bourne wa ukweli (i.e Matt Damon); watajuta sana kugombana naye, wameharibu mkanda!