Nani yupo nyuma ya posho na wabunge?

Apr 27, 2006
26,588
10,374
- I mean people, hii ishu mbona haiondoki toka Mwaka juzi inazunguka zunguka tu bila FACTS, Je ni nani hasa yupo nyuma ya hii ishu? Inaonekana Wabunge wa vyama vyote wapo involved maana haiwezekani ikawa sisi wananchi tunawaambia hawa Wabunge na Serikali kwamba hatuitaki hii ishu, lakini kila siku inaibuka tena kama haijawahi kuguswa, haya ndio matatizo ya kutawaliwa na Katiba ya chama kimoja kwenye vyama vingi!

- Ndio maana tunasema sana kwamba Wale wote waliomo Bungeni, na kwenye hivi vyama vyetu vya Siasa, wakiruhusu kupitishwa tena kwa Katiba ile ile ya zamani kama inavyoelekea sasa, watatafunwa sana na hiyo dhambi ya Taifa tufike mahali kwenye katiba tuwe na kipengele cha kuwafukuza Wabunge magoi goi na hata viongozi wa Serikali magoi goi, wabunge tumewachagua wenyewe halafu wanatuletea kiburi WHY? kama vile hatukuwachagua?

- I mean tufike mahali labda tufute kabisaa hiyo posho maana this is insane!, hawa Wabunge mbona wana kiburi sana?

William @...NYC,USA: Mutuz Big Show!
 
W. J. Malecela;2981993]- I mean people, hii ishu mbona haiondoki toka Mwaka juzi inazunguka zunguka tu bila FACTS, Je ni nani hasa yupo nyuma ya hii ishu? Inaonekana Wabunge wa vyama vyote wapo involved maana haiwezekani ikawa sisi wananchi tunawaambia hawa Wabunge na Serikali kwamba hatuitaki hii ishu, lakini kila siku inaibuka tena kama haijawahi kuguswa, haya ndio matatizo ya kutawaliwa na Katiba ya chama kimoja kwenye vyama vingi!

- Ndio maana tunasema sana kwamba Wale wote waliomo Bungeni, na kwenye hivi vyama vyetu vya Siasa, wakiruhusu kupitishwa tena kwa Katiba ile ile ya zamani kama inavyoelekea sasa, watatafunwa sana na hiyo dhambi ya Taifa tufike mahali kwenye katiba tuwe na kipengele cha kuwafukuza Wabunge magoi goi na hata viongozi wa Serikali magoi goi, wabunge tumewachagua wenyewe halafu wanatuletea kiburi WHY? kama vile hatukuwachagua?

- I mean tufike mahali labda tufute kabisaa hiyo posho maana this is insane!, hawa Wabunge mbona wana kiburi sana?

Nilipotia wino mwekundu, kubold na ku-underline hapo juu sidhani kama uko sahihi kamanda. Big up kwa topic nzuri.
 
Magamba ndo wameshikilia hili suala la posho nadhani hakuna mTZ ambae hajui kama magamba wapo after money
 
Nafikiri ni kuwapoza kuhusu kesi ya JAIRO ili wasiwe wakali kwa wahusika.

Pia wasiwe wanadai kujua malipo ya Dowans yakoje.

Namalizia kwa kesi ya Mahoteli ambayo mengi yameuzwa au kubadilishwa majina ili wakwepe kodi.

Ila nina imani ni kuwapoza kwa mengi, yaani zaidi ya hayo juu. Una nyongeza? Siasa za Mkapa, kuleni kidogo ili mie nile saana.
 
Ni chenji ya RADA wanatakiwa kugawana na serikali. kila mhimili uliwezesha zisiende kwenye NGO na wanachi. Sasa bora waombe waongezewemshiko kwenye CDF watachukua chao juu kwa juu
 
Ni chenji ya RADA wanatakiwa kugawana na serikali. kila mhimili uliwezesha zisiende kwenye NGO na wanachi. Sasa bora waombe waongezewemshiko kwenye CDF watachukua chao juu kwa juu
Mkuu hapo kwenye chenji ya radar, tayari balozi Majar ameshanzisha NGO ya madawati...........hela anapewa yeye, hapo ndo unaujua u.s.enge wa viongozi wetu, kila kitu kipo pre-meditated.

hata hizi posho zipo pre-meditated.........haiwezi kutokea kirahisi naman hii tu!!
tunaona hela ya Jairo imetumika kulipa wakina Makinda na Pinda sitting allowance ya 280,000 kwa siku, then wiki tatu down the line, huyohuyo speaker anasema posho za 200k zimeshaanza kulipwa...........wanatuona sisi makenge sana.
 
Wabunge wenyeyewe ndo wako nyuma ya hizo posho, bunge la kumi ni mchanganyiko wa hatari; kuna wabunge ambao walinunua ubunge kwa pesa zao kwa kuwahonga maskini wao Suala la posho ni muhimu kufidia gharama zao, kuna wabunge hawakushinda wamepita kibabekibabe zile sehemu zilizokuwa na uchakachuaji wa wazi wabunge hawa wanajua hawawezi kurudi msimu Ujao na wana chuki na raia wao posho ni muhimu wapige hela mapema, afu Sasa kuna kundi lingine la waliobebwa either na CHAMA or Mtu fulani Huyo Hana uhakika kama mbeleko itakuwepo tena.... Sasa Hao ni aina ya wabunge tulio nao mjengoni na aina hii ni kwa wabunge wavyama vyote. Tatizo sio Sheria ni mfumo mzima sio tu kuwe na Sheria ya kuzuia posho ila mfumo wa upatikanaji wa wabunge je ni mfumo gani utumike ambao utatupa responsible leaders ambao wanastahili kazi ya Kutunga Sheria sio hawa madalali. Hata mwanga wa matumaini ktk hii katiba mpya sijauona. Kwa bunge hili la kumi na spika huyu Sijui?? Suala la posho. Linahitaji reconstructuion ya mfumo mzima, Sheria pekee haitoshi
 
Magamba na serikali yao ndo wako nyuma! Angalia kila kunapotokea inshu inayowabana wanaamua kuibua inshu inayodeviate fikra za watu na kuharibu kabisa mtiririko wa kuifuatilia iliyokuwa inawabana. Mfano mzuri ni hili la katiba mpya, wanajua kabisa katiba saizi ni kaa la moto, wameamua kujibua jingine ili kuwasahaulisha kidogo wanawa tanganyika.

Yapo mengi yanayoibana serikali pengine inatakiwa isiwepo madarakani kutokana na uhalali wake kuwa wa mashaka, lakini kwa sababu tulikubali kunywa pombe za bure, wali dagaa wa bure hata kwa kuambulia kijiko kimoja basi hizi ndo gharama zake.
 
sio utani mkuu........
halafu natafuta silencer kama hiyo hapo kwenye avatar yako.......iliyofungwa kwenye hiyo Beretta 9mm........
 
Sheria zetu nazo zinachangia Mkuu!!
Na sheria zinatokana na Kativlba ambayo nayo imetekwa nyara na haohao!!
Unafikiri ingekua kwamba M'bunge akiwazingua mnaweza kumpig chini wakati wowote wasingetuchezea hawa jamaa!!
Mkuu tukiacha ushabiki wa Siasa na vyama, wewe unajua ni kina nani byngeni wamekweda kupiga porojo na ni kina nani wanawakilisha wananchi!!!
Basi angalau ingewekwa hata kanuni kua sio unaposaini daftari tu, bali pia uchangie topic yoyote ndio upewe hiyo posho!!!
 
sio utani mkuu........
halafu natafuta silencer kama hiyo hapo kwenye avatar yako.......iliyofungwa kwenye hiyo Beretta 9mm........

Mkuu hizo ziko nyingi mbona! Hiyo unasikia mlio kwa mbali "shwa shwa".
 
Nakuunga mkono 100% kuwa kuna uwezekano wabunge wote wapo nyuma ya haya mambo. Nakumbuka kuna wakati mishahara ya wafanyakazi iliongezwa, na serekali ikataka waandishi wa habari wasiambiwe eti kuondoa uwezekano wa bidhaa kupanda bei!!

Leo hii hizo posho zilipanda, na wabunge wakaendelea kuchukua. Gazeti la Mwananchi kama sikosei "lilipotoboa siri" ndio wabunge haohao waliamka na kuanza kuipinga.

Hoja ya kuongozwa na chama kimoja nafikiri ni zaidi ya hizo posho, serikali ya chama kimoja kama ilivyo tanzania kwa sasa inaashiria hatari kubwa sana inayokuja. Chukua mfano wa sherehe za miaka 50 ya uhuru:
Ni kweli wapigania uhuru wa tanzania ni wanachama wa CCM peke yake? Watendaji/watunishi bora ni wanachama wa CCM tena marafiki wa "rais" peke yake?
 
Bunge zima lipo nyuma; wengi wa waheshimiwa wetu waliingia mjengoni kwa rushwa iliyokithiri; siasa imegeuka kama personal investment; huu ni wakati wao wa kurudisha walichotumia; mapenzi kwa wananchi wala Taifa hakuna; swali la msingi je nini kifanyike ili kuzuia ubaradhuli huu usiendelee.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kweli, kama tuna uwezo wa kuwaweka madarakani, kwa nini tusiwe na uwezo wa kuwatoa anytime? Watatuburuza hadi 2015?!! Wao si wanatutumikia sisi?
 
- Ni ishu muhimu kama hizi ndio zinatukumbusha wa taifa zima kushiriki kwenye katiba mpya, ama sivyo hawa Wabunge nao watatumaliza, kama ni posho na mishahara basi iongezwe nchi nzima sio Wabunge tu?

- Leo nimeongea na Mbunge mmoja nikamuuliza what is this, duh majibu yake ni yale yale, Wananchi wanatutegemea tuwasaidie harusi na vilio, maisha yamepanda now maisha si yamepanda kwa kila mwananchi, I mean hawa Wabunge wana Kiburi sana, WHY?

William @..NYC,USA: Mutuz Big Show!
 
Nipe vigezo vya kuwapata viongozi magoigoi. Isje ikawa kama zoezi la kujivua gambq lilivyokwenda mrama kutokana na kutokuwa na deep stick ya kupima gamba ni nani na yupi si gamba.
 
Back
Top Bottom