Nani yuko sahihi,..Obama au Michelle?

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Bandugu wapendwa wa jukwaa letu tukufu, nimekutana na huo ujumbe hapo chini na umenifanya nifikirie sana. Hivi nani kati ya Obama na Michelle alikuwa sahihi? Au ilikuwa ni mwendo wa Michelle kumwaga mboga baada ya Obama kumwaga ugali?

One night President Obama and his wife Michelle decided to do something out of routine and go for a casual dinner at a restaurant that wasn't too luxurious. When they were seated, the owner of the restaurant asked the president's secret service if he could please speak to the First Lady in private. They obliged and Michelle had a conversation with the owner.
Following this conversation President Obama asked Michelle, why was he so interested in talking to you. She mentioned that in her teenage years, he had been madly in love with her. President Obama then said, "so if you had married him, you would now be the owner of this lovely restaurant" , to which Michelle responded, "no, if I had married him, he would now be the President".

This confidence should be in each & every woman!!!!!
 
They say in English that BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN THERE IS A WOMAN.
 
Michelle alikuwa sahihi....mama anajiamini sana na kusema ukweli kwa kumsikiliza ana nguvu na uwezo wa kumtengeneza Rais wa Marekani....usisahau...."Behind every successful man there is a strong,smart and intelligent woman".....!

I love her confidence....thanks DC!
 
Ahsante Michelle,

Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?

Nafikiria tu,....Mzee DC!!!
 
:cool:
 
DC inawezekana in one way or the other ila kumbuka pia kulikuwa na Hillary Clinton ambaye ana influence kubwa
 
Michelle alikuwa sahihi.....!! Behind every successful man....there is a smart, intelligent,strong,determined woman.....mara nyingi tu yeye Obama amekiri uwezo na nafasi ya Michelle kwenye kufanikiwa kwake...that means hata angeolewa na Bar attender angeweza kuwa Rais wa Marekani!

I love her confidence....and yes,its how confident women should be! Thanks DC!
 
Ahsante Michelle,

Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?

Nafikiria tu,....Mzee DC!!!

Of kozi angeweza.

Je, Michelle anaweza kuwa raisi wa Marekani kama alivyotaka kuwa Mama Clinton (my girl)? I don't think so.....
 
Ahsante Michelle,

Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?

Nafikiria tu,....Mzee DC!!!

Ukisoma vitabu alivyoandika na vilivyoandikwa na watu kwa kumuoji Obama utagundua ni dhaifu sana....ni mtu mwenye akili na uwezo wa kujieleza ila nguvu,discipline yake kwa kiasi kikubwa inatokana na Michelle na hilo amekiri yeye mwenyewe...personally,naamini angeweza kuwa Rais wa marekani angekuwa amemuoa mwanamke mwingine mwenye sifa za Michelle....!!
 
Michelle Obama is overrated. And Obama is not as weak as you want us to believe. Na hata kama yeye kakiri sijui nini kuhusu mkewe, well, wewe ulitegemea aseme nini? Yule ni mkewe na lazima atammwagia masifa tu. Hata Bill Clinton anammwagia masifa Hilary. Vivyo hivyo kwa George W Bush na Laura.....
 
ha ha ha ha ha, Overrated???? what about the eloquent,committed idealist Obama??.....simuongelei Michelle kwa kuzungumzwa na Obama tu bali hata na wanafunzi wenzie aliosoma nao na wale aliofanya nao kazi na hata friends......Obama is weak/coward.....thats what i believe and i do not want you to believe it....coz my salary does not depend on you believeing that....!!:yawn:
 
Kwa analogy ya two Michelles (Obama and JF) nimemfikiria Kikwete................. anyway he is not that successful............... never mind who is behind him!
 
NN sidhani maana hata Hillary alikuwa ni stronger kuliko Obama(mtazamo wangu)

Actually nakubaliana kabisa na mtazamo wako. Sijui kama ulikuwepo hapa kati ya 2007 - 2008. JF massive karibu yote ilikuwa nyuma ya Obama wakati mimi tu ndo nilikuwa nyuma ya Mama. Na ukiangalia debates zao za primaries, Mama alikuwa akimfunika sana Obama. Yule Mama achana naye bana. She knows her sh*t.

Kilichomkwamisha ni pervasive sexism iliyoota mizizi katika jamii ya Kimarekani.
 
DC, Obama asingeweza kumwoa mwanamke mwingine coz Michelle ndiye mkewe! inawezekana asingemwoa Michelle asingekuwa Obama tunayemfahamu. .....napita njia nimeacha mboga jikoni mwayego
 
ha ha ha ha ha, Overrated???? what about the eloquent,committed idealist Obama??

Obama is eloquent? Girl please....have you ever heard him speak extemporaneously? He stutters like he has a speech problem. He just reads the teleprompter well and that has got many people fooled that he is a great orator.

.....simuongelei Michelle kwa kuzungumzwa na Obama tu bali hata na wanafunzi wenzie aliosoma nao na wale aliofanya nao kazi na hata friends......Obama is weak/coward.....thats what i believe and i do not want you to believe it....coz my salary does not depend on you believeing that....!!:yawn:

When it comes to people's beliefs I usually have no argument. So go ahead and believe whatever it is that you want. Heck, for all I care you can go ahead and believe you are the United Kingdom of Great Britain's princess to be.
 
NN sidhani maana hata Hillary alikuwa ni stronger kuliko Obama(mtazamo wangu)

Uko sahihi kabisa my brother......Hillary is stronger to Obama tena sana tu....mpaka inaboa....ila kwa upande mwingine nachoamini ni kuwa Hillary kuwa mke wa Clinton/senator wa New York/na kuwa na political experience ya siasa za ndani na nje ya Marekani kulimjenga sana tofauti na Obama na kwa misingi hiyo angeweza kuiendesha Marekani vizuri zaidi na ikabaki kuwa na heshima kuliko Obama....on the other hand,Michelle is stronger than Obama...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom