Nani wa Kulaumiwa????

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa, Mwigulu, Lusinde, Nape, JK?
 
Back
Top Bottom