Nani wa kulaumiwa???

Wakulaumiwa ni wale wote wasiojiheshimu na kutambua thamani yao katika jamii.
Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.
Mwacheni shetani hausiki hapo.
 
Wakulaumiwa ni wale wote wasiojiheshimu na kutambua thamani yao katika jamii.
Anaweza kuwa mwanamke au mwanaume.
Mwacheni shetani hausiki hapo.

hahah lol
hapo umeongea dear..
mbona umesahau Pombe dear ??lol
 
hahahaha lol
usijali
tukiwa pamoja hawaingii lol
wanatuheshimu sana hawa watu.
lakini nii wabishi tu..lol:smile-big:
Kwa niaba ya The Finest nasi washika pembe Uporoto na Klorokwini na wameza mate(madomo zege) wote naomba ukalale sasa kabla hujapata wrinkles za uso na kupoteza mvuto.
 
Kwa niaba ya The Finest nasi washika pembe Uporoto na Klorokwini na wameza mate(madomo zege) wote naomba ukalale sasa kabla hujapata wrinkles za uso na kupoteza mvuto.

hahahaha lol
mie ntalalaje na wakati ni 11.55am..??
hahahahha lol
mmmhhh huo mvuto ulisha potea tangu kipendi kileeeee....
hahah lol
 
nadhani wa kulaumiwa ni JOGOO ALIYESEMA.

Nihurumie nihurumieee ...naumia naumia.

kamuulize Pazi mtoto wa darasa la nne atakuambia jibu sahihi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom