Nani wa kulaumiwa, Mchuzi,TBC,ITV,Star TV

Jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa Njinsi Shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa Shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa CDM haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity CDM ulioanzia TBC na kuenea kwenye Mitandao mingine ya Habari,

jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa Chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao CDM hawana kitengo cha Habari kwa sasa, nimeangalia hata Mtanzania Daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,

Kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia JF lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,

Inasikitisha hata hapa JF hakuna picha hata moja ya mazishi ya Kamanda Shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia Michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye Uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu Michuzi, lawama ziende kwao hao CDM na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea CDM TV naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba CDM wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo

RIP Shelembi

Mkuu wewe ndiye ungetuletea picha. Nafikiri CDM wanatakiwa waanze kutumia pesa za ruzuku kuwa na wapiga picha wao ambao wanaweza kuweka matukio yao kwani wakitegemea Chama Cha Majambazi na government machinery imekula kwao.

jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana shinyanga na wana cdm kwa ujamla,kwa kuondokewa na kamanda shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa njinsi shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa cdm haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity cdm ulioanzia tbc na kuenea kwenye mitandao mingine ya habari,

jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao cdm hawana kitengo cha habari kwa sasa, nimeangalia hata mtanzania daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,

kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia jf lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,

inasikitisha hata hapa jf hakuna picha hata moja ya mazishi ya kamanda shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu michuzi, lawama ziende kwao hao cdm na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea cdm tv naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba cdm wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo

rip shelembi
tutake radhi tena ukome
nani anaangalia upuuzi wa tbc??haya kulikoni mwenzio kampumzika unataka wauze sura pitia mgongo wake??mwachen kidume cha mbegu kipumzike kwa amani jamani
 
Nadhani wakuu wa vitengo wa propaganda wamefanya kazi ipasavyo, kuna incedence nyingi ambazo CDM hawajawa covered mfano mpaka leo mimi sijaona tukio la tabora na mkutano wa Dr Slaa, Dodoma na mazishi hayo zaidi ya chnl ten, na sasa kada mkuu Mshana ndio anaongoza TBC tujipange CDM kunyimwa coverage kabisa
 
iliruka ITV bwana......na muwalaumu wahariri sio vyombo vya habari

Hawa wahariri ni wa vyombo vipi,TBC kama chombo cha serikali kimantiki kinatakiwa kifanye kazi bila ya upendeleo wowote na kuvipa vyama vyote nafasi sitahiki, sio siri tena kwamba wahariri wengi wana fanya kazi kwa influence ya chama tawala,
Huu ni mpango na ni mkakati wa kuinyonga CDM, lakini haya yana mwisho, nakumbuka hali kama hii ilitokea Misri wakati wa yale maandamano ya kumng'oa Mubaraka, vyombo vya habari vya Misri pamoja na TV ya taifa havikurusiwa kuonyesha maandamano hayo
siku moja kabla ya Mubaraka kung'olewa TV ya taifa ya Misri ilionja nguvu ya umma ambapo umati mkubwa wa watu uliamua kuizingira na kukesha nje ya TV hiyo kwa bahati mbaya au nzuri usiku huo utawala wa Mubaraka ukang'oka,

Yote haya tunayoyashuhudia katika kudhibiti vyombo vya habari watawala wajue yana mwisho

Hakuna kulaa.......
 
muda ndio utakaowaumbua,sijui baadae watakuwa wageni wa nani kwani wamejiaminisha Magamba yatatawala milele....:shocked:
 
Sasa unalalamika nini si na hao cdm watafute mkono mrefu wao?

Mkono mrefu wa CDM ni nguvu ya umma, bila shaka kumbukumbu zako ni hai na unajua nini kilimkuta Marin Hassan pale jangwani
angalia hapo chini

JF Premium Member

Join Date : 23rd April 2008
Location : Home
Posts : 2,927
Thanks
448
Thanked 511 Times in 343 Posts
Rep Power : 29
Re: kesi ya chadema - arusha
naona dr slaa, mbowe, lema, madiwani wa cdm na wapenzi wa cdm wako tayari kabisa kufatia kesi..kulitokea kutokuelewana kati ya wapenzi wa cdm na mwandishi wa tbc, wakimtaka aache kufanya mahojiano na lema wakidai ni wachakachuaji kama wanataka taarifa wakaandike za jk hata wakitaka wamuonyeshe hata akiwa chooni
 
jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana shinyanga na wana cdm kwa ujamla,kwa kuondokewa na kamanda shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa njinsi shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa cdm haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity cdm ulioanzia tbc na kuenea kwenye mitandao mingine ya habari,

jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao cdm hawana kitengo cha habari kwa sasa, nimeangalia hata mtanzania daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,

kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia jf lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,

inasikitisha hata hapa jf hakuna picha hata moja ya mazishi ya kamanda shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu michuzi, lawama ziende kwao hao cdm na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea cdm tv naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba cdm wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo

rip shelembi

atangazwe kwa lipi hasa la ajabu kwani kama ni kifo si kafa kama wengine kwanza ana umaarufu gani katika nchi?! Sio mbunge sio waziri haya cha kulalamika una lalamika nini. Alikuwa maarufu kwa Chadomo wala sio kwa nchi nzima kama unavyowaza wewe.
 
Unakumbuka siku ile yule Mama mlemavu aliepewa Bajaji na Kikwete alipata ajali, habari huyo ilichukua coverage ya ajabu, huyo Mama hakuwa mbunge wale Diwani maana yake nini, TBC wako biased siku itafika
 
Kuna uwezekano mkukwa serikali ikawa imewaziba mdomo waandishi wa habari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari kuelekea 2015
 
Kuna uwezekano mkukwa serikali ikawa imewaziba mdomo waandishi wa habari pamoja na wamiliki wa vyombo vya habari kuelekea 2015
 
atangazwe kwa lipi hasa la ajabu kwani kama ni kifo si kafa kama wengine kwanza ana umaarufu gani katika nchi?! Sio mbunge sio waziri haya cha kulalamika una lalamika nini. Alikuwa maarufu kwa Chadomo wala sio kwa nchi nzima kama unavyowaza wewe.

umaarufu ni nini mama nyamungo?
 
Back
Top Bottom