Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,303
Sote tunafahamu mapinduzi ya kweli kule Tunisia yalianzaje, alikuwa ni kijana mmoja aliyetumia muda wake kudili na masomo akawa amehitimu mwisho wake! Hakubahatika kuhajiliwa akahamua kujiajili kwa kufanya biashara ndogondogo (machinga) ambapo alikuwa akisumbuliwa sana na Police. Alichoka akaamua kununua mafuta ya petrol na kujimwagia na kujilipua na aliacha ujumbe na watu waliupata! Maandamano yalianza! Njia sahihi watanzania 2itumie unadhani ni ipi?