Nani wa kujibu mapigo?.....wewe ni wa kundi gani?....na hawa je?.....

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Nani wakujibu mapigo?.........Nilitaka kujua tuu kama Mh Mizengo kayanza peter Pinda
alikuwa akimaanisha nini kuhusu kujibu mapigo?
Je ni polisi kujibu mapigo au ni wanaachama wa ccm maslahi kujibu mapigo?


Ona hawa.......mikono juu

CHADEMA 2.JPG
 
Back
Top Bottom