nani unamkubali/unamgwaya jf?

Mie niko hafu hafu, mara leo nimewapenda mara kesho nimewachukia.
Mnanichanganyaga sana, hasa mkiniinglishi mediamu
 
Hivi unajua akina Hamisi huwa wanakula kimchezo mchezo hivi hivi.

Mara Hamis nibebee maji, mara niongeze fungu la mchicha.

Akili zikija kurudi, anatokea sketini.

mwajuma ndio anamgwaya hamisi kishindindo.
 
Hivi unajua akina Hamisi huwa wanakula kimchezo mchezo hivi hivi.

Mara Hamis nibebee maji, mara niongeze fungu la mchicha.

Akili zikija kurudi, anatokea sketini.

weee! Hamisi wangu mstaarabu. Hapendi hayo mambo. Lol.
 
Jf bwana eti mtu anampenda mtu yule yule kwa Id moja alafu eti anamchukia kwa Id nyingine...ha ha ha ha ha!
 
Nauliza hivi,humu jf nani ni rafiki yako wa mtandao ambaye kwa sura hamfahamiani (hamjawahi kukutana physically wala kwa simu) lakini hisia zako kwake ni za mtu ambaye mko karibu (you are comfortable around him/her virtually) kiasi kwamba kupitia majibizano mbali mbali kwenye threads/posts unakuwa huna wasiwasi kuwa hata kidole (sio ulimi) kikiteleza hawezi kamwe kukuripoti abuse ukalambwa ban.In the same vein, je ni nani unamgwaya kiasi kwamba thread/post zake unazipitia pembeni au uki comment basi inakuwa ni kwa tahadhari sana maana unaogopa one mistake ataku report abuse ma mods wakutie bakora? sema tu usiogope.
ps: Bishanga ntarudi baadae na majina yangu ngoja kwanza nisokote kipande.

furahini katika bwana siku zote tena nasema furahini.wapendeni watu wote hata wasiowapenda neno hili nawaachia mwenzenu naenda golgota kumsaidia mwokozi
 
wooote nawalike ila wapo wanaonichukia na mimi nawajua ila nawapenda watajiju
hao wanaokuchukia unajisikiaje unaposoma post zao,huwa unajisikia ku comment back au huwa unapotezea?
 
Back
Top Bottom