Nani nitakae muoa kati ya hawa

Nikisema wewe MZINIFU kwa ushahidi uliotoa wa kuwa na watoto wanne wa nje ya ndoa utakataa? Mzinifu humuoa mzinifu mwenzie hivyo inabidi umtafute mzinifu mwenzako umuoe.
nakataa mimi si mzinifu. sijawahi kuwa ndani ya ndoa. nawalaumu madame walifanya hesabu vibaya ikatokea nikakubali
 
unamjua mmoja? mwambia kuna chance pahali ilimradi tu awe na reception nzuri, boot iwe sawa na tabia nzuri tayari kusettle

Nilidhani utachomoa manake utahitajika kulea watoto 8 mkeo na wewe jumla 10 plus ndg jamaa na marafiki +mashemeji na baadhi ya waume wenza. Maadam upo tayari vuta subira watajitokeza!
 
Mkuu sasa mbona unajichanganya, kwanini uliwaendea wote wawili? Sasa sisi tutakusaidia nini maana hakuna mapungufu yoyote uliyoyataja kwa hao wazazi wenzako. Kama vp oa wote kama imani inakuruhusu.
 
ok, niliwaendea kila mmoja kivyake lakini hakuna aliyetaka kuletewa mtoto wa nje. na mimi siwezi over my dead body kukaa mbali na wanangu. kama vp wacha ikae. nitakaa senior bachelor niwalee wanangu. after all chapa ilale zimejaa so why worry about women?
 
nimejaribu sana. hata huku ughaibuni niliko kila mrembo nikimweleza haya urafiki unaishia hapo

duuu pole wee. sasa kama hao wawili hawataki akiolewa ulete wa nje basi tafuta mwenye alie na mtoto wa mwanaume mwingine then mwanze yenu.. iwe watoto wako na wake kisha muongeze wenu.....
oooh ma good lord hapa sijui ndo itakua ile ya " darling your children and my children are fighting with our child....."
 
ahahahahahahahah...uuuuuiiuuuiii...hiki kicheko sasa mtu wangu. if the woman is a widow then it is a different case. sio mwanamke ambaye najua kabisa baba watoto yupo halafu mimi niishi na hao under one roof. no thats out of question. wacha nikae bila mke kama hiyo ndo itakua suluhisho ya maisha
 
mkuki kwa nguruwe lol. sasa ndo hivo hata mwanamke hataki kuishi na mtoto ambae anajua kabsaaaaaaaaaaaa kua mamake yupo.
 
she has no additional ingredients wacha akae. i am the bread winner and if she does too then some consensus must be reached. i cannot compromise zero grazing in my house lol....
 
Back
Top Bottom