Nani nitakae muoa kati ya hawa

charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
436
128
nina umri usiozidi 31. nina watoto wanne kila mmoja na mama yake. wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, watatu nikiwa internship na wa nne nikiwa tena chuoni. kati ya hawa wanawake wawili wameshaolewa. ninatamani sana kuoa sasa ila nilipowaendea hao waili waliobaki kila mmoja kwa nafasi yake walikubali ombi langu ila hakuna aliyekubali kuletewa mtoto wa nje. sasa sijui nifanyeje kwasababu sitaki kukaa mbali na wanangu. hivi sasa nimeshawachukua wawili wote wapo boarding school na ninatarajia kuwachukua na hao wengine pia ASAP.
wanajamvi ninatamani kuoa. nawakilisha

dah baba makusanya...endelea kusearch utampata atakayekukubali wewe na timu yako ya maji maji

ao wakweli na ukilazimisha uwaletee watoto wakat wwashakuambia awatak watoto wa nje itakula kwako na vctm apo watakuwa ao watoto wa nje

pole

Not too late pal, oa wote wawili ili uwe fair kwa watoto wako. Sijajua wewe ni dini gani, lakini kama ni mkristo, itakubidi ukafunge ndoa wilayani ili uweze kuoa zaidi ya mke mmoja.

Mada zingine bana
Kama story za Shigongo
Khaaaaa!

si ndo kujitakia kitanzi hapa beste

dah baba makusanya...endelea kusearch utampata atakayekukubali wewe na timu yako ya maji maji

ao wakweli na ukilazimisha uwaletee watoto wakat wwashakuambia awatak watoto wa nje itakula kwako na vctm apo watakuwa ao watoto wa nje

pole
jamani..haya bwana..asante

Pole kwa mtihani ulionao,kama hawahitaji kuletewa mtoto wa nje jaribu kutafuta binti mwingine mwambie ukweli yupo ambae atakubaliana na halisi!

nimejaribu sana. hata huku ughaibuni niliko kila mrembo nikimweleza haya urafiki unaishia hapo

Nikisema wewe MZINIFU kwa ushahidi uliotoa wa kuwa na watoto wanne wa nje ya ndoa utakataa? Mzinifu humuoa mzinifu mwenzie hivyo inabidi umtafute mzinifu mwenzako umuoe.

Tafuta mwenye watoto wanne kwa baba tofauti nadhani ndo mtafanana.

unamjua mmoja? mwambia kuna chance pahali ilimradi tu awe na reception nzuri, boot iwe sawa na tabia nzuri tayari kusettle

Back
Top Bottom