Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani nimwite shemeji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaka Sam, Mar 19, 2010.

  1. Kaka Sam

    Kaka Sam JF-Expert Member

    #1
    Mar 19, 2010
    Joined: Jul 29, 2009
    Messages: 543
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Wanajamvi wenzangu,

    Nina rafiki yangu wa siku nyingi toka enzi za chuo na kwa sasa amefanya uamuzi wa kupata jiko na siku aliyoniambia hilo swala na kuamua kunitambulisha kwa mywife wake mtarajiwa nikakuta ni yule best angu ambaye mimi namuita dada kutokana na ukaribu tulio nao.
    Sasa je, hapa ni nani nimwite shemeji?:confused:
     
  2. Mbu

    Mbu JF-Expert Member

    #2
    Mar 19, 2010
    Joined: Jan 11, 2007
    Messages: 12,703
    Likes Received: 92
    Trophy Points: 145
    ...mbona tayari ushawapa 'title' zao stahili? endelea tu kuwaita hivyo, kwani rafiki anaeleka zaidi kuwa Shemejio.
     
  3. Kimey

    Kimey JF-Expert Member

    #3
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 25, 2009
    Messages: 4,119
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 135
    ha ha ha mpwa kwa sababu huyo rafiki yako ulikua humuiti kaka na huyo mkewe ulikua unamwita dada basi rafikio ni shemejio!! usisahau ka batan ketu kwa hii yusifuli post!!
     
  4. Masikini_Jeuri

    Masikini_Jeuri JF-Expert Member

    #4
    Mar 19, 2010
    Joined: Jan 19, 2010
    Messages: 6,819
    Likes Received: 339
    Trophy Points: 180
    Kuna kiarifu kimejificha hapa!
     
  5. bht

    bht JF-Expert Member

    #5
    Mar 19, 2010
    Joined: May 14, 2009
    Messages: 10,171
    Likes Received: 18
    Trophy Points: 135
    nimeshtukia.......
     
  6. Ngalikihinja

    Ngalikihinja JF-Expert Member

    #6
    Mar 19, 2010
    Joined: Sep 1, 2009
    Messages: 14,567
    Likes Received: 1,802
    Trophy Points: 280
    Hapana....kiarifu kipo ....kasema rafiki na dada.............hapo naona amesahau kiima na amejaza vihisishi..............
     
  7. FirstLady1

    FirstLady1 JF-Expert Member

    #7
    Mar 19, 2010
    Joined: Jul 29, 2009
    Messages: 16,200
    Likes Received: 104
    Trophy Points: 160
    Rafiki + Dada we call shemeji ..
    Siku ukijisikia kumuita dada shemeji hakuna mbaya
    Siku ukijisikia kumwita rafiki Shemeji ..hakuna mbaya pia.
     
  8. Noname

    Noname JF-Expert Member

    #8
    Mar 19, 2010
    Joined: Feb 8, 2010
    Messages: 1,269
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0
    sasa hao wote ni wanawake au?
     
  9. Kaka Sam

    Kaka Sam JF-Expert Member

    #9
    Mar 19, 2010
    Joined: Jul 29, 2009
    Messages: 543
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    No no hakuna kilichojificha.
    senks kwa ushauri wenu wanajamvi, nazani msela wangu nimwite shem na my wife wake abaki kuwa dada. duh hii kali.
     
  10. Masaki

    Masaki JF-Expert Member

    #10
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 7, 2006
    Messages: 3,464
    Likes Received: 129
    Trophy Points: 160
    Fafanua kwanza huyo rafiki aka dada mlishawahi ''kuvunja undugu'' japo mara moja?
     
  11. Masaki

    Masaki JF-Expert Member

    #11
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 7, 2006
    Messages: 3,464
    Likes Received: 129
    Trophy Points: 160
    Au kiambishi jina ndicho kinachokosekana hapo? [​IMG]
     
  12. Bigirita

    Bigirita JF-Expert Member

    #12
    Mar 19, 2010
    Joined: Feb 12, 2007
    Messages: 13,582
    Likes Received: 332
    Trophy Points: 180
    Great Thinker ndo nawapendaga bana!
    yani walivyokutana wakachuniana kama hawajuani au?
    kwa hiyo jamaa hajui kama demu wake alishawahi kumjua ze mshkaji?
     
  13. Bigirita

    Bigirita JF-Expert Member

    #13
    Mar 19, 2010
    Joined: Feb 12, 2007
    Messages: 13,582
    Likes Received: 332
    Trophy Points: 180
    The dots cant be connected.......best yako wa siku nyingi, ana demu wewe humjui,
    Mpaka anaamua kufanya maamuzi ya kumuoa, ndo anakuja kukuonyesha..........kwani wewe ni baba yake?

    Na kwa nini usimjue?
     
  14. Sajenti

    Sajenti JF-Expert Member

    #14
    Mar 19, 2010
    Joined: Apr 24, 2008
    Messages: 3,677
    Likes Received: 11
    Trophy Points: 0
    ...Yalee Yaleeee!!! mambo ya .com
     
  15. Ngalikihinja

    Ngalikihinja JF-Expert Member

    #15
    Mar 19, 2010
    Joined: Sep 1, 2009
    Messages: 14,567
    Likes Received: 1,802
    Trophy Points: 280
    aknani tena siku yangu immekaavizuri leo.............maana .........
     
  16. J

    Jafar JF-Expert Member

    #16
    Mar 19, 2010
    Joined: Nov 3, 2006
    Messages: 1,138
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Wote hao kwako ni shemeji zako, hapo hakuna kaka yako wala dada yako tusidanganyane.
    Halafu haka katabia kakumuita mtu dada tu kwa sababu huna mawazo ya nanihii sio kazuri, dada ni yule wa kuzaliwa naye "fulusitopu".
     
  17. P

    Pajero New Member

    #17
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 18, 2010
    Messages: 2
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Nawashukuluni sana na wageyi salam salam kwawana chama.
    mimi nasikia sana wasela wengi kuishiwa kwenye mataa bila kosa lolote.

    Vijana tujichunge tusije tukwa kama mke wa lutu. wasichana wengi wanavamia eti wapate haki yao. Na we msela wa bongo kama unapenda kuwa na rafiki au kuwa na girlfriend, angalia kwamanini usije ukafuata mkombo, wabinti wengi wanapenda wafulana ambao wanakipaji chakuwatosha kama walivyo, mimi apo wahali niliwai kuwa na girlfried, kweli mi nilimpenda kama alivyo, lakini yeye aliniovyesha upenda wamwili, na moyo wake ulikua unapenda vitu vyakung'ara. nami msela nikiua sina haka hera yakumuvalisha vizuri, tuliendelea.kupendana mieze kadhaa. siku moja tu kuaingia Dar. na kaona mwanamne ambae alikua ni taita, na mtima wake ukanasa kuhoyo mwanadume. na akapenda wawe marafiki wakaribu tu wamda mfipi tu. na akamuomba namba yake yasim. bila kuchelewa binti akamugawia tunda. na akanitema kitambo. aliona mimi sina pesa kama huyo mwanamme.    minapenda mnigeyi ushauri kotaka kwako msomaji. na kama unamaindi kunitumia ujumbe/ message, email wangu ndoi, pajero75@live.com na ninaisha USA, napenda minipe mawazo yakufajiri mtima wangu. asanteni mngu wabariki
     
  18. P

    Pajero New Member

    #18
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 18, 2010
    Messages: 2
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    semji nijambo tata kiliko yoyote
     
  19. Kimey

    Kimey JF-Expert Member

    #19
    Mar 19, 2010
    Joined: Mar 25, 2009
    Messages: 4,119
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 135
    dah mkuu kuishi USA ndo kiswahili kimepotea kabsaa?
     
  20. Kaka Sam

    Kaka Sam JF-Expert Member

    #20
    Mar 19, 2010
    Joined: Jul 29, 2009
    Messages: 543
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Mmh! Kweli JF ni zaidi ya niijuavyo, kumejaa watu wa kila aina. Thanks to all, mawazo yenu ni mazuri pia.
     
Loading...