Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Kwa tafsiri rahisi Stateperson ni mtu yeyote ambaye kwa aina yake ya maisha akiwa mtumishi wa umma alitumia uwezo wake wote kuutumikia umma kufikia utumishi uliotukuka. Anaweza kuwa ni mtu yeyote yule ambaye anaheshimika na jamii yake. Kwa Tanzania mtu aliyekuwa na sifa ya Stateperson ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Baada ya kifo chake nafasi hiyo imebaki wazi kwani kwa sasa hakuna mtu ambaye katika jamii yetu anaonekana kusimamia maslahi ya taifa.
Kama Taifa jee ni nani kwa sasa anafaa kuwa Stateperson wetu?
Kama Taifa jee ni nani kwa sasa anafaa kuwa Stateperson wetu?