Nani na nani wanazitest kondomu kabla hazijasambazwa?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Wanazitest kama vile tunavotumia (kwamba unamchagua mdada/mkaka then mna do) au? Isije wao wanatest kwa robot afu sie tunakubali tu. Kama ni binadamu ndio wanafanya kazi hiyo ikiwezekana wawe wanabadilika badilika hata kwa kugombea kama vile ubunge(ili na mimi niwe mgombea, hahaha) najua hata akina @exllent BAGAH Kongosho,pretta mama D,@ff Erickb52 n. k watakuwa wagombea
 
Last edited by a moderator:
Deejay nasmile unatamani kama ungetest na nani vile!!??
dah hapo ungenikosa maana mimi mtu wa pekupeku,,,,,,hizo vitu situmiagi kabsaaaaa
hahaaaa lol

duh,labda ngoja nimsubili first lady atasemaje teh
 
Dah! Tbs, Tfda, Baraza la ushindani la Taifa, PSI, what all these doing hadi tuletewe condom mbovu!? bora nipige kavu inaweza saidia nikawa na mmoja wa kumwamini kuliko kuamini wasioaminika,
 
Dah! Tbs, Tfda, Baraza la ushindani la Taifa, PSI, what all these doing hadi tuletewe condom mbovu!? bora nipige kavu inaweza saidia nikawa na mmoja wa kumwamini kuliko kuamini wasioaminika,

Piga kavu upoteze appetite ya tunda milele...
Hahahahahaaa bora ikupasukie kuliko kuanza kavu tangu mwanzo
 
Deejay nasmile unatamani kama ungetest na nani vile!!??
dah hapo ungenikosa maana mimi mtu wa pekupeku,,,,,,hizo vitu situmiagi kabsaaaaa
hahaaaa lol
Mkuu @mama D pamoja na wewe kupenda Pekupeku lakini itabidi mpenzi wako muende kupima HIV kabla kucheza nae Pekupeku au sivyo mkuu?
 
Deejay nasmile unatamani kama ungetest na nani vile!!??
dah hapo ungenikosa maana mimi mtu wa pekupeku,,,,,,hizo vitu situmiagi kabsaaaaa
hahaaaa lol

Mama D kuna zoezi la kutest utamu wa kavu.... teh sijapatawa kutest nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom