Nani mwenye makosa, CHADEMA au serikali?

serikali ya TZ na jeshi la polisi hawana busara katk UTENDAJI WA KAZI. WAO NDO WAKULAUMIWA KWA 98%
 
Sirikali ya magamba ilaumiwe kwani imekosa busara kwa kuhakikisha inasrkiliza na kuwakutanisha ccm n cdm ili kuta2a tatizo
 
Tutafakari kwa kina, nani alaumiwe katika suala zima la vita kati ya chadema na ccm huko arusha. Binafsi napenda tupate mtaalamu wa sheria humu atupe ufafanuzi bila hiana na asiwe kwenye magamba. Siku lema ameenda mahakamani alienda kwa mguu kutoka ofisi za cdm arusha, kesi ikaarishwa maana lema alikuja na group la watu wengi waliomfuata kama wapenzi wa cdm, wakati anarudi kutoka mahakamani watu wengi walimfuata kwa kuwa alikuwa anatembea kwa mguu kama kawaida yake. Alifika sehemu akuwaasa waananchi kuwa watawanyike maana kesi imearishwa mpaka tar nyingine. Lakini wananchi walitaka aseme zaidi, polisi walifika na kuwakamata lema na baadhi ya wafuasi. Je hilo ni kosa kisheria au hii ikoje, swali kwenda na watu mahakamani ni kosa au sio kosa. Mwisho kabisa dr slaa na wenzake kulikuwa na umhm wa kukesha pale maana waliambiwa mwisho saa 12 jioni.

Binafsi inabidi pia tujaribu kupunguza mvutano ili angalau wana arusha tupate maendeleo, lini lema na wenzake watapanga mikakati ya 2015 kuchukua nchi, kuleta mabadiliko katika majimbo waliyochukua 2010.

Nawakilisha

Wasema "Tutafakari kwa kina, nani alaumiwe"

CHADEMA.
 
KAMA NIMEMWELEWA VIZURI MBOWE , TATIZO NI umeya WA JIJI LA ARUSHA , HAYA MENGINE NI YATOKANAYO
 
Back
Top Bottom