Nani mwenye kosa?!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
May 17, 2011
660
99
Kuna mzee mmoja (mfanyakazi/mheshimiwa) alienda semina mbali na kwake, huko ikabidi akuchukue nyumba cha kulala wageni, baadae ikabidi atume wahudumu wamtafutie kiburudisho (ka CD). Kwa kuwa yeye alikuwa amelewa chakari na bahati mbaya siku hiyo umeme haukuwepo ikabidi akipokee kiburudisho chake hivohivo. Aliletewa binti mrembo ambaye na yeye alikuwa maji, basi hawa wapenzi wawili waliokuwa wamelewa usiku huo wakatafunana usiku kucha kwani hawakuweza kuonana kwa sababu ya giza. Mze alikuwa na ugwadu sana na huyo binti nae alikuwa na njaa ya hela,
asubuhi dingi anashtuka aliekulana nae ni binti yake ambaye yuko mkoani hapo kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu!

Ilikuwa boooooooooooonge la aibu. SASA,,,,,,,,
mwenye kosa ni nani?
1. Wahudumu?
2. Mla chenchi?
3. Chenchi yenyewe?
4. Au nani????

Karibuni waheshimiwa jamvini!!
 
mhh angeletewa kidume kimle kiboga ndio angejua pombe si chai pambaf zake
 
naloelewa so far
kosa sio la shetani,pombe, feadha
Wahudumu na umeme..

kosa ni za zilizo bakia ukiondo hizo
nilizo zitaja..
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Jamani si imeandikwa utakula ulicho panda jamaa kala mavuno yake hakuna baya hapo.... Weraaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sitoi bila ya mh!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi huyu mze siku anarudi nyumbani na mtoto wake huyo wataangalianaje?
Kawaida tu hawatoshangaana wala nini. Brazil watoto wa kike chini ya 18yrs 99.6% walianza kutafunwa na baba zao kwanza kabla ya kuwa machangudoa. Kwahiyo kama wako huko poa tu au hujasoma hadithi ya chaja ya kobe?
 
Mhh !
woote wana makosa kabisaaa!. kufanya uesharati ni dhambi au kosa. Lakin hata kama, unapswa upepese macho kuon status ya muashsrati mwenzio hata kwa kutumia mwanga wa simu inatosha. Hata kama ni ulevi lazima ustuke.
Lakini enzi zetu za jando tulifundwa kwamba, hata ukiona paja la dada yako, mwanoa hutasisimuka je hiyo elimu ilikuwa ni falsafa ya aina yake au ndo ukweli wenyewe.
Ahsante!
 
Kuna mzee mmoja (mfanyakazi/mheshimiwa) alienda semina mbali na kwake, huko ikabidi akuchukue nyumba cha kulala wageni, baadae ikabidi atume wahudumu wamtafutie kiburudisho (ka CD). Kwa kuwa yeye alikuwa amelewa chakari na bahati mbaya siku hiyo umeme haukuwepo ikabidi akipokee kiburudisho chake hivohivo. Aliletewa binti mrembo ambaye na yeye alikuwa maji, basi hawa wapenzi wawili waliokuwa wamelewa usiku huo wakatafunana usiku kucha kwani hawakuweza kuonana kwa sababu ya giza. Mze alikuwa na ugwadu sana na huyo binti nae alikuwa na njaa ya hela,
asubuhi dingi anashtuka aliekulana nae ni binti yake ambaye yuko mkoani hapo kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu!

Ilikuwa boooooooooooonge la aibu. SASA,,,,,,,,
mwenye kosa ni nani?
1. Wahudumu?
2. Mla chenchi?
3. Chenchi yenyewe?
4. Au nani????

Karibuni waheshimiwa jamvini!!

Alaumiwe huyo mzee,kwani kwa kushindwa kumpa hela ya matumizi ya kutosha mtoto wake wakati ana hela ya kunywa pombe kupita kiasi kunampelekea mtoto kufanya umalaya ili aishi
 
Mzee ana makosa kwanza kwa kwenda pembeni.Pili Kutomtimizia mahitaji mtoto wake kiasi anafikia kujiuza.
 
Kuna mzee mmoja (mfanyakazi/mheshimiwa) alienda semina mbali na kwake, huko ikabidi akuchukue nyumba cha kulala wageni, baadae ikabidi atume wahudumu wamtafutie kiburudisho (ka CD). Kwa kuwa yeye alikuwa amelewa chakari na bahati mbaya siku hiyo umeme haukuwepo ikabidi akipokee kiburudisho chake hivohivo. Aliletewa binti mrembo ambaye na yeye alikuwa maji, basi hawa wapenzi wawili waliokuwa wamelewa usiku huo wakatafunana usiku kucha kwani hawakuweza kuonana kwa sababu ya giza. Mze alikuwa na ugwadu sana na huyo binti nae alikuwa na njaa ya hela,
asubuhi dingi anashtuka aliekulana nae ni binti yake ambaye yuko mkoani hapo kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu!

Ilikuwa boooooooooooonge la aibu. SASA,,,,,,,,
mwenye kosa ni nani?
1. Wahudumu?
2. Mla chenchi?
3. Chenchi yenyewe?
4. Au nani????

Karibuni waheshimiwa jamvini!!

Tathmini personally nimeshindwa maana najaribu kuweka katika imagination na imenigomea..... Naona am living in a fantasy world hoping kitu kama hicho kisitokee....
 
Bwana Asha we achu best, nahisi thats why many people commit suicide, assume you did so with you dadie, what will you do?
 
Next time naomba uwe sensitive kidogo... Hao watu umewaweka hapo siwafahamu nimeshindwa imagine wala sikutaka.... Alafu unaniambia ni imagine ni my Dad... Imeniuuma saana - sijui umefanya kwa nia mbaya au lah (but i blivu labda umechulua simple - kwa hilo nakusamehe). My dad ni marehemu, imagining him alive is hard enough for he was very close to me... imagining him katika statement hiyo yako.. How dare you??? I AM HURT. SharoHiphop kama nilivyosema next time kua sensitive...
 
Kama siyo hadithi ya kutunga basi hii imevunja mwaka. So Mda wote mdingi hakujua kuwa ana do na mtoto wake? Yaani gemu ilikuwa kimya kimya haina stori hata kidogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom