Nani muoga?

sixlove

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
548
369
Siku moja katika familia fulani, baba na mama waliamua kuwauliza watoto wao, je kati yao nani muoga, na mazungumzo yao yalikuwa hivi:

baba: eti wanangu kati ya mimi na mama yenu ni nani muoga?
mtoto wa kwanza. mama ndio muoga kwani baba huwa akisafiri mama hawezi kutoka nje peke yake usiku
mtoto wa pili: baba ndio muoga kwani mama akisafiri, baba huwa hawezi kulala peke yake, huwa analala na housegirl.




TABIRI KILICHOTOKEA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom