Nani Muislam hapa?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Jamaa kaingia msikitini na panga na kuuliza nani mwislam hapa.watu kimya,
nani mwislamu hapa?? halafu akamchukua moja nje na kumwomba amchinjie mbuzi.
halafu akarudi msikitini na panga yenye damu na kuuliza tena.nani mwislamu hapa?waumini wakamnyooshea imam kidole kwamba ndo mwislamu,Imam akasema"jamani mi kuswalisha siku mbili ndo mniite mwislamu?mi hapa najifunza"halafu jamaa akasema "nataka unisaidie kumchuna mbuzi"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom