Nani msomi katika hii nchi na amelifanyia nini Taifa??

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Kumezuka dhana ya watu wenye elimu ya kawaida wakifanya mambo makubwa wanabezwa na kuitwa hawana shule nauliza nani anastahili kuitwa msomi, kwenye hii nchi !usomi ni elimu ya university tu??
 
Kumezuka dhana ya watu wenye elimu ya kawaida wakifanya mambo makubwa wanabezwa na kuitwa hawana shule nauliza nani anastahili kuitwa msomi, kwenye hii nchi !usomi ni elimu ya university tu??
Tujali ubunifu na uwezo binafsi wa kufanya kazi bila kujali aina ya shule aliyosoma mtu, wapo wengi waliosoma na hawajalifanyia lolote taifa hili masikini. Kama mchango wangu katika hili namfagilia Keenja kwa ubunifu na usimamizi wa uwepo wa ubungo terminal tunayoijua leo, is a big government investment kama kusingekuwa na wezi na pesa zote zinazopatikana pale ziende serikalini.
 
Back
Top Bottom