Nani Mshindi ??

kalukamise

JF-Expert Member
May 4, 2011
683
189
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...

Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif] yanafika mbinguni!
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Jamaa: loh nyumba gani hizo mpaka mbinguni?
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Mmarekani: aah ok...kwa chini kidogo.

M-bagamoyo: Sisi kwetu kuna minazi mireefu inafika mbinguni!
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Jamaa: loh na wewe nawe?
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]M-bagamoyo: hapana kwa chini kidogo.

Mmasai: Kule kwetu watu nasalia kwa kitovu!
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Jamaa: aaah Mmmasai bwana loh umezidi sasa...
[/FONT]
[FONT=comic sans ms,sans-serif]Mmasai: errooo kwa chini kidogo!

Mshindi ni nani hapo?
[/FONT]
 
Back
Top Bottom