Nani mshindi?

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
Ni game ya kiushkaji matusi no matani zaidi... natoa sentesi ya matani neno la mwisho unaanza nalo wewe kisha utakalo maliza ataanza nalo mwenzako...wa mwisho ndo mshindi... oke lets go-->

sura mbaya kufa hufi
 
hufi ila cha moto utakiona
 
Halafu hiyo tabia yako ya kwenda kwa vinyozi unawaambia wakunyoe style kama ya Zenith wakati unajua una bichwa kama baba ubaya ikome kuanzia leo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom