Nani Msaliti?

said jaffary

Member
Aug 31, 2012
8
2
Kuna mume na mke walikuwa wamelala pamoja usingizi mara mkewe akashtuka usingizini na kusema mume huyo anagonga mlangoni, mume kusikia hivyo akakurupuka na kuruka kupitia dirishani na kutokomea. wadau nawauliza yupi msaliti kati yao?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom