Nani msaliti?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Habari za sahizi wapendwa,poleni sana kwa shughuli za kila siku na uchovu mwingi wa kazi.

Naanza kwa title inayosema ""MSIWALAUMU WANAUME,WANAWAKE NDO WASALITI TOKA UUMBAJI WA DUNIA''(wachache waaminifu ila siwafahamu)
Kusalitiwa katika mapenzi inaumiza sana,kuna kusalitiwa kwa njia tofauti au aina ya usaliti ila nadhani moja ya usaliti unaomiza ni pale unapogundua mpenzi wako anauhusiano wa siri na mtu mwingine,hapo kama bado unampenda unaweza kumsamehe,pia inaumiza zaidi inapotokea mpenzi wako wa mda mrefu kapewa mimba na mtu mwingine.
Mfano~~~~
Ilitokea kupendana na msichana mmoja na kushibana ila baadaye kutokana na kazi yangu ya kuzunguka(kuhama hama)nikawa naonana naye mara moja kwa wiki ila mawasiliano yalikwepo kila mara pia wazazi wa pande zote walifahamu uhusiano wetu.Huyu mwenzangu alikuwa anajua kabisa nahangaikia maisha na nilimweleza nafanya hayo yote kwa ajili ya faida yetu ya maisha ya baadaye na pia nisije nikamleta kwenye maisha magumu.Ktk kuzunguka huko kwa vile hiyo kazi yangu ilikuwa ya mda tu na sio ya kudumu ikabidi nirudi mtaani na kupanga naye cha kufanya ili tuwe pamoja.Ile tu nafika mtaani napewa taarifa kuwa amepewa mimba na mtu mwingine mwenye mke wake.Huyu msichana alichofanya ni kunililia ili nisimwache maana anajua yule mtu ana mke wake na dini hairuhisu yeye kuwa mke wa pili.Nilichofanya ni kumkataa na kumwambia mi na wewe basi na sitaki tena uhusiano wa aina yoyote.Cha kushangaza wazazi wake walipogundua ana mimba wakamtenga,wakampatia chumba cha kupanga na ajitegemee mwenyewe.Uhusiano ukawa umeisha kabisa na hakuna mawasiliano tena na mimi.
Baada ya mwaka 1 nikaanza uhusiano na mwingine na nilikuwa namfamu vizuri na tabia zake zilikuwa nzuri,nikaenda safarini miezi mitatu,siku moja nikampigia simu nashangaa akapokea mwanaume na kusema kuwa yeye ndo boyfriend mpya wa huyo msichana na mimi ni X boy. Siku iliyofuta niliongea naye kwenye simu akawa anajiuma uma tu bila points za msingi,Kuanzia hapo nikakata uhusiano naye na huu ni mwaka wa tatu hatujaona lakini bado ananitumia sms na huwa sijibu,akipiga sipokei.
Kutokana na matukio kama haya nimejikuta siwezi kumpenda msichana kwa asilimia yote,yaani nitamwamini kwa asilimia 60.na hata nikiwa naye na kuniambia ananipenda au anifanyie hata chochote kweli mi namwona mwongo tu na sasa hivi hata msichana akinisaliti au kunitenda siumii sana mana moyo wangu umeshakuwa mgumu.
Namalizia kwa kusema''Hakuna haja ya wanawake kupiga kelele,kulalamika kwamba wanasalitiwa na wanaume,wao ndo waliowajengea wanaume kwenye mazingira ya usaliti,wanawake wanashawishika sana,wana tamaa ya vitu vidogo,hata kwenye maandiko matakatifu EVE(HAWA)ndo msaliti wa kwanza na kumsababisha mwenzake kuadhibiwa na MUNGU,wao wenyewe wanajiweka ktk mazingira ya kudanganywa na kutongozwa,ndo maana hata shetani akatumia hiyo chance kumdanganya,kwa hiyo usaliti mwingi unatoka kwa wanawake''
Ni mtazamo wangu tu msinipige mawe:

IF I'M WRONG PROVE ME WRONG!
IF I'M RIGHT PROVE ME RIGHT!

By Excellent
 
Sijawahi kusoma thread ndefu kama hii na kuimaliza.

Naanza na Title haijakaa vyema.
Pili nani msaliti kati ya Mwanamke au Mwanaume au hao wasichana wako micharuko.
Majibu tafadhali then niendelee
 
Sijawahi kusoma thread ndefu kama hii na kuimaliza.

Naanza na Title haijakaa vyema.
Pili nani msaliti kati ya Mwanamke au Mwanaume au hao wasichana wako micharuko.
Majibu tafadhali then niendelee
Desidii wasaliti ni wanawake,wanawake ndo wanakuwa hawana msimamo,hata wakitongozwa kwa utani wao wanamaanisha
 
Hahaaaaaa!
pole sana kaka kwa hayo yaliyokukuta mpendwa usikate tamaa wako aliyeandaliwa na mungu kuwa nawe bado hamjakutana muombe sana mungu ipo siku mtakutana na utamwamini asilimia zote.
Na kuhusu hiyo ya wanawake kusema wanaume ni wasaliti ni kutokana na baadhi ya wanaume wanaowasaliti wanawake zao idadi yao kuwa kubwa ndo maana wakawa wanasema wanaume ni wasiliti
 
utamjuanje mtu mwenye upendo wa kweli?
 
usigeneralize,kila kisa cha usaliti kina msaliti tofauti katika mazingira na sababu tofauti
Usimlaumu mwanamke generally coz it took the two of them to cheat
Hakucheat na demu yaani si lesbian alikuwa na mbaba kama wewe aliyeacha mke wake ndani na kwenda kuimpregnant mwingine nje
sasa inakuwaje unasema mwanamke siku zote ndo msaliti?
je huyo mke wa huyo baba asemeje? au mme wake alikuwa demu?
 
Moja ya silaha mbaya katika mahusiano katika ulimwengu wa sasa ni Umbali..
very very serious... in most cases utakuta ana mwingine au ana STDs but waiting for you

Swali kwako.... Mda woote ulokua mbali nao ulikua mwaminifu, naomba ujibu
kweli kabisa for at the end of the day you are a man and i will be surprised kama you didn't...
 
Asha nilikuwa mwaminifu 100% ila sema tu kwa upande wake labda umbali ulimfanya anisaliti
 
usigeneralize,kila kisa cha usaliti kina msaliti tofauti katika mazingira na sababu tofauti
Usimlaumu mwanamke generally coz it took the two of them to cheat
Hakucheat na demu yaani si lesbian alikuwa na mbaba kama wewe aliyeacha mke wake ndani na kwenda kuimpregnant mwingine nje
sasa inakuwaje unasema mwanamke siku zote ndo msaliti?
je huyo mke wa huyo baba asemeje? au mme wake alikuwa demu?
Nilipokuwa naye mbona hakuwa na uhusiano na huyo mtu?alidanganywaje wakati anajua nina uhusiano naye?je alijiweka mazingira gani mpaka adanganywe?
 
Nilipokuwa naye mbona hakuwa na uhusiano na huyo mtu?alidanganywaje wakati anajua nina uhusiano naye?je alijiweka mazingira gani mpaka adanganywe?

Sawa Excellent,ni kweli hakuwa mwaminifu kwako na siwezi kujua ilikuwaje mpaka akafanya hivyo and am not defending her.
Lakini kwanini unageneralize kwa kusema wanawake siku zote ndo wasaliti? Think of mke wa huyo jamaa,yeye hakusalitiwa?
Sasa kwa nini unasema wanawake tu?
Swala la usaliti lipo pande zote na kwa kuwa wewe umesalitiwa na 'wanawake' sio fair kusema wanaume sio wasaliti
 
Excellent; These are some few of the truths in a relationship, but nobody normally wants to realize:
  1. Even thinking of having sex with another person out of your partner, counts as cheating....!
  2. Regardless whether a man or a woman, every person who is in a relation is a cheater, and s/he is in a position to be cheated.....! So, if you can't realize cheating, never get into a relationship....!
  3. You are not brought to the world to trust a human being....! So, this is the most mistake people normally do about others....! Therefore, though trusting a partner is a wise attitude, only fools may do....! Never, never, never trust any human being.... even yourself....!
  4. In getting into a serious relationship, never forget to put clear your likes and dislikes to your expected partner....! This is because, normally people believes that "making a mistake is not a mistake, but repeating a mistake is a mistake"; but, what if you told her/him earlier that you can't tolerate it? Hope you will be in a safe side, however, not all mistakes must be expressed earlier because of their nature.... ie, having an affair with another person...!
  5. Whatever punishment you issued to your ex-, must be clear to your new partner so that s/he can have in to minds about your seriousness......! Otherwise, you will continue to suffer....!
 
Desidii wasaliti ni wanawake,wanawake ndo wanakuwa hawana msimamo,hata wakitongozwa kwa utani wao wanamaanisha

Ha ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiii kuna kutongoza kwa utani kweli nimecheka sana. Sio wanawake wote hawana msimamo bwana we vipi
 
Mi navoona pande zote zafaa kupigwa mawe! Ndo maana Mungu hakumuacha shetani hivi hivi baada ya kusababisha usaliti.
 
Back
Top Bottom