Nani msafi CCM kupanda jukwaani kesho?

Status
Not open for further replies.

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Hadi sasa nimeshindwa kupata hata kiongozi mmoja wa CCM aliyemsafi atakaethubutu kupanda kesho jukwaani pale Jangwani a.k.a Chadema square.
 
1.Prof.majimarufu
2.Lusinde
3.Wassira
4.Ngeleja
5.Malima
6.Omary Badwel

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sisiem hawana mwongeaji "mzuri" kama Lusinde a.ka Kibajaji! Kudadadeki!!!?
 
Lowasa hoyeeeee!!!!
Kama nape mwanaume kweli na sio cho** amlete Lowasa Chadema Squire
 
Lowasa hoyeeeee!!!!
Kama nape mwanaume kweli na sio cho** amlete Lowasa Chadema Squire

mbona hiyo ni ngumu sana! Hata Mkuu hawezi kupanda jukwaa moja na Leigwanan Mkuu aka mzee wa white hair!
 
Ushauri wangu wa bure kwa CCM kesho wasipande viongozi wauza nyago...maana hao wamegeuka kuwa makuwadi wa wao wenyewe na sio chama. Badala yake wapande vijana machachali viongozi wa chini wapo sema wanabaniwa na watoto waliokiteka chama kimetekwa chama chetuu hili halina ubishii
 
nahisi lowassa atakuwepo kuendeleza ile singo yake alyoizindua arumeru,ile ya hapo vipi?.....................hapo vipi?......................hapo vipi?
 
Maige, ekelege, chami, .... Ccm wana Majina makubwa mengi tu, Sio Kama chadema. Tuna imaaaaniIiii na cheeeengeeee! Oya! Oya! Oya! Tuna nyimbo nyingi tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom