Nani mrembo zaidi katika hawa ?

tatizo bwana warembo wetu yani wengi ni vilaza kweli yani..! wanakua wanashindwa na mambo madogo madogo sana hata tukiwa tunaenda kwenye mashindano ya dunia yani hua inakuaga ni aibu kinyama yani
 
mm uzuri wa mwanamke kwangu huwa huonekani hadharani....! uzuri wa binti umezungukwa na nywele banaa!!!
 
Waambie wavue hivyo vitopu tuangalie nani ni mwanamwali, hapo ndipo tunaweza kutoa majibu mazuri

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom