Nani mmiliki wa UDA na Kwanini kipaumbele

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
UDA ndio kampuni ya usafiri ambayo imepewa kipaumbele na serikali mfano Kburi? cha kutesa abiria na kufanya yapendavyo bila kufuata root kukatisha root kwenda kokote yapendako na kufanya huduma pekee ya mnazi mmoja feri root ambayo ni fupi kwa gharama ya 400 ... Nani mmiliki na nani yuko nyuma ya pazia ... Chini ya kapeti kuna nini kuhusu UDA ?
 
Mimi swali langu kwanini route ya Mnazi mmoja-Feri bado ipo wakati mwendokasi wamemaliza ujenzi mjini!!
 
UDA ndio kampuni ya usafiri ambayo imepewa kipaumbele na serikali mfano Kburi? cha kutesa abiria na kufanya yapendavyo bila kufuata root kukatisha root kwenda kokote yapendako na kufanya huduma pekee ya mnazi mmoja feri root ambayo ni fupi kwa gharama ya 400 ... Nani mmiliki na nani yuko nyuma ya pazia ... Chini ya kapeti kuna nini kuhusu UDA ?

Msajili wa hazina analo jawabu
 
Kisenya ni front man, kampuni si yake. Kamata IDD Simba afunguliwe mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi.
 
Magufuli.....mabadiliko! Mabadiliko...Magufuli. Ufumbuzi kuhusu nani mumiliki wa UDA utapatikana karibuni
 
Kk majibu cku c nyingi yatapelekwa shamba kwann vipanya (hiace)vinasumbuliwa japo vipo nje kidogo mji wengine ndio mikate ytu hatuna kz tunazotegemea ss tutaish kujisjiri km inakuwa shida?
 
liliwika bunge la kumi na wabunge wa dar wakiongozwa na mtenvu waliongelea sana kuna hujuma mahali.aliyekuwa meya wa jiji lazima anajua.
 
UDA ndio kampuni ya usafiri ambayo imepewa kipaumbele na serikali mfano Kburi? cha kutesa abiria na kufanya yapendavyo bila kufuata root kukatisha root kwenda kokote yapendako na kufanya huduma pekee ya mnazi mmoja feri root ambayo ni fupi kwa gharama ya 400 ... Nani mmiliki na nani yuko nyuma ya pazia ... Chini ya kapeti kuna nini kuhusu UDA ?

Wachore rangi za route zao Kama dala dala zifanyavyo ,ili shirika ni la mtu binafsi iweje wawe wanapewa msamaha wa kodi kwa sababu eti ni Mali ya umma? Magufuli weka ndani msaburi didas fastaaaaaa.
 
UDA ndio kampuni ya usafiri ambayo imepewa kipaumbele na serikali mfano Kburi? cha kutesa abiria na kufanya yapendavyo bila kufuata root kukatisha root kwenda kokote yapendako na kufanya huduma pekee ya mnazi mmoja feri root ambayo ni fupi kwa gharama ya 400 ... Nani mmiliki na nani yuko nyuma ya pazia ... Chini ya kapeti kuna nini kuhusu UDA ?

UDA ni shirika la umma linalomilikiwa na halmashauri ya jiji la dar es salaam mkurugenzi wake ni bwana Robert Kisena, naimani kuberi enea na mnyika na madiwani wao watakuwa na wakati mzuri wa kulifanyia marekebisho kuondoa kasoro zilizopo.
 
Mnaoiongelea UDA kuna mambo mengi hamyafamamu. Uda iliuzwa pamoja na mali zake zingie kama majengo na maeneo. Kwa sasa maeneo hayo yanatumiwa na mtoto wa mshua kama bandari kavu na pia kampuni ya mtoto wa mshua ya malori inatumia maeneo hayo kama yard. Kwa sasa wanatengeneza mikakati ya kuhakikisha wao wanakuwa na share kubwa zaidi Dart. Japo naamini kwa hali ilivyo Dar kwa sasa kisiasa na nguvu ya magufuli mambo mengi yatakuwa wazi.
 
Kisenya ni front man, kampuni si yake. Kamata IDD Simba afunguliwe mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Ni kweli kabisa Robert Kisena sio mmiliki ana share tu sema kuna wakubwa wengi wapo nyuma yake . Mtoto wa mshua wa zamani amejiingiza kila mahali sijui hizo ela atazikwa nazo au vip. Na watu wasiojua wakiambiwa wanaona kama anasingiziwa vile ila ndio ivyo. Na magari ya uda yanapita bandarini bila hata kodi yan ni wizi juu ya wizi.
 
Mnaoiongelea UDA kuna mambo mengi hamyafamamu. Uda iliuzwa pamoja na mali zake zingie kama majengo na maeneo. Kwa sasa maeneo hayo yanatumiwa na mtoto wa mshua kama bandari kavu na pia kampuni ya mtoto wa mshua ya malori inatumia maeneo hayo kama yard. Kwa sasa wanatengeneza mikakati ya kuhakikisha wao wanakuwa na share kubwa zaidi Dart. Japo naamini kwa hali ilivyo Dar kwa sasa kisiasa na nguvu ya magufuli mambo mengi yatakuwa wazi.

Wacha kupotosha watu wewe, zilizouzwa ni share shirika bado la umma, mie nimenunua share tano za crdb inamaana crdb ni mali yangu? kisena kanunua share kama mtu yeyote aliyenunua share za crdb nmb.
 
Ni kweli kabisa Robert Kisena sio mmiliki ana share tu sema kuna wakubwa wengi wapo nyuma yake . Mtoto wa mshua wa zamani amejiingiza kila mahali sijui hizo ela atazikwa nazo au vip. Na watu wasiojua wakiambiwa wanaona kama anasingiziwa vile ila ndio ivyo. Na magari ya uda yanapita bandarini bila hata kodi yan ni wizi juu ya wizi.

wakubwa gani siwataje majungu ya kichagga haya tabu tupu!!!
 
Sumatra wanabidi wawajibishwe kwa kuudanganya umma kuwa hii ni mradi wa serikali kumbe ni wa mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom