Nani mmiliki wa sophia house?

Rwechu

Member
Mar 17, 2009
85
20
Wanajamvi naomba anayejua anayemiliki majengo yaliyoandikwa sophia house anijulishe maana yametapaa kila kona.

Kuna maofisi, mahoteli, magodown m.k
 
ni SOPHIA SIMBA

Hapana / Siyo kweli

Ally Hassan Mwinyi

Ni kweli / Ndo jibu sahihi

Injinia mkuu akiwa Bi. Sitti aliyekuwa jambazi la kutisha wakati mumewe akiwa madarakani. Nafikiri mnakumbuka enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alipokamata maiti Airport ikiwa imejazwa dhahabu kwenda Uarabuni na mwenye biashara hiyo akiwa huyo mama.
 
pamoja na kutukatia umeme
kisha kulazimisha kutuuzia majenereta
yaani huyu ex-president anavyoongea
huwezi mdhania kama na yeye alikwiba

Hapana / Siyo kweli

Ni kweli / Ndo jibu sahihi

Injinia mkuu akiwa Bi. Sitti aliyekuwa jambazi la kutisha wakati mumewe akiwa madarakani. Nafikiri mnakumbuka enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alipokamata maiti Airport ikiwa imejazwa dhahabu kwenda Uarabuni na mwenye biashara hiyo akiwa huyo mama.
 
Mbona jina linajieleza

Sofia House ni maneno ya kiingirishi kwa tafsiri ya kiswahili ni Nyumba ya Sofia. Nilitegemea labda swali lako lingekuwa ni Sofia yupi?
 
Mbona jina linajieleza

Sofia House ni maneno ya kiingirishi kwa tafsiri ya kiswahili ni Nyumba ya Sofia. Nilitegemea labda swali lako lingekuwa ni Sofia yupi?

Linaweza kutumiwa jina hilo SOFIA Lakini mmiliki akawa mtu mwingine. Lets say mmiliki ni baba yake Sofia au ni mumewe Sofia. Kwa hyo kumjua mmiliki haitusaidii,na sisi tutafute vyetu,kwa njia yoyote ile. Halali lakini.
 
Back
Top Bottom