Nani mlengwa ? Sisi au wao kwa wao ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kwa wakati tulionao zama hizi huwezi tembea hatua kadhaa iwe hujakutana na Mwanamke alievaa nguo inayoonyesha robo 3 ya matiti !. Mabarabarani, Maofisini, Vilabuni, Kumbini N.k.
Nianze kwa kujitolea mf. Kwangu binafsi kua katika organs parts za Mwanamke inayonivutia kwa haraka hua ni Matiti, (kama vile mchezaji Nyota au roho ya timu ninavyoyachukulia matiti)
Nachokiuliza haya matiti tunayowekewa waziwazi hua mlengwa hasa anaetakiwa kuyaona ni Mwanamke mwenzake ? Na kwa sababu zipi ?
Au mlengwa ni Mwanaume ? Kama ndiyo, ili iweje ?
Naomba kutoa hoja !
 
Walengwa ni wanaume wasiojua wao ni akina nani!Lakini sisi WANAUME tunaojua ni akina nani hayo ni ujinga kwetu!
 
naona xmas imeanza vyema lol. ngoja nitarud kuchangia.

Obsesd ! Sasa ndiyo uungwana gani huo ? Uchungulie na kuumwaga? Umeniacha'achaje kuhusu "mtindi open ? mtindi mwaaa" mtindi displayed !
 
mi nikiona mapaja bwana! Hata mke wangu itabidi awe anavaa nguo maalumu akitaka tupeane kazi. Matiti wala hata cpati msisimko.
 
Walengwa ni wanaume wasiojua wao ni akina nani!Lakini sisi WANAUME tunaojua ni akina nani hayo ni ujinga kwetu!

EIYER! mbona unafunua asteaste ! Kama walengwa wana wa kiume, twalengwa ili iweje ? "creditor have better memories than debtor"
 
mi nikiona mapaja bwana! Hata mke wangu itabidi awe anavaa nguo maalumu akitaka tupeane kazi. Matiti wala hata cpati msisimko.

That's why God created several atractive organs parts !
 
mi nikiona mapaja bwana! Hata mke wangu itabidi awe anavaa nguo maalumu akitaka tupeane kazi. Matiti wala hata cpati msisimko.

ushakutana na kitu kimeundwa shepu ya makalio halafu kimetia mafuta ya maana lazima ukae..
 
EIYER! mbona unafunua asteaste ! Kama walengwa wana wa kiume, twalengwa ili iweje ? "creditor have better memories than debtor"

Kinacholengwa hasa ni mfuko wako!Hapendwi mtu kinachopendwa ni pochi!
 
haina mlengwa. Mtu anavyaa apendavyo. Ni kuthibiti tamaa yako tu

Kwa nini tuweke thermos katikati ya kizingiti cha mlango ! Na tuiwekee na taa iwe inaonekana kwa tahadhari anaekuja asiigonge ila airuke tu ! Kweli haitovunjika, lakini kwa nini tusiiondoe kuondoa disturbus kwa kuiruka ? Usumbufu usio lazima ? Means kwanini Matiti yasifunikwe ?
 
ah wee bwana wacha waonyeshe mmaana wengine utamu ndio tunaupata hapo hapo
 
haya ya matiti si yalishaongelewa?
Mbona wanamieleka wanayachezesha na hamsemi kitu
 
ushakutana na kitu kimeundwa shepu ya makalio halafu kimetia mafuta ya maana lazima ukae..

Mwisho ya kazi ukutane na kipotable chenye kalio la mviringo and firm halafu liwe limebanwa kwenye skin jeans....mate yananidondoka kama chizi
 
Back
Top Bottom