Nani mkweli kwenye hili la uchawi kati ya FaizaFoxy na mshana jr?

utoto huu raha sana, nikajua jambo la maana kumbe kupinga eti hakuna uchawi wa "zongo"

kama hujui bora ukae kimya uchawi huo upo ye kama anajua zongo kwa maana yake yuko sahihi pia.

nnacho furahi mshana huwa hajishughulishi na faiza, ila faiza ndo anahangaika na jamaa alafu jamaa alishakataa kumjibu kitu.

jibu la swali lako: wote wakweli kulingana na uelewa wao
Me nashangaa sana huyu mtu anaejiita faizafoxy.kila post ya mshana jr Yupo tena anapinga tu.mambo mengine hajui ni mweupe kbisaa zaidi ya references zake Za kwenye kiarabu na kuruani basi.
Kuna mda anaongea point mda mwingine pumba basi tu ilimradi kapinga.anasema ndele uwongo na zongo sio uchawi!!!mzimaa huyu Kwel??
Aje Tanga tumtembezetembeze apanue maalifa kidoogo.
 
FaizaFoxy yupo sahihi ktk hilo. Mtu yeyote aliyewahi kuishi Tanga atakubaliana nae. Ila izingatiwe kuwa Mshana chambuzi zake za mambo ya majini, uchawi, uganga na mfano wa hayo huwa vyanzo anavyotegemea ni tofauti na vile ambavyo FaizaFoxy anavitumia. Hivyo basi, hawawezi kukubaliana kukubaliana. Ili wakikubaliane kukubaliana lazima mmoja wao aachane na vyanzo vyake vya sasa na atumie vyanzo vya mwenzake. Tofauti na hivyo itabidi wakubaliane kutokukubaliana.
 
Kumbe miaka yote hii Faiza anamchukia Mshana nilikuwa sijui kwa nini ,Kumbe Faiza ni kigagula kazidiwa ujanja na Mshana ,Faiza alitaka aloge yeye mwenyewe tu
 
Unandoaaa zinakusumbuaa.. Ndotoza ajabuu ajabuuu watuwanakusema marakwamara kwenye mablog mtaalam Pdidy yukokwa ajiliyako njooubungo njeyamsikiti oilcom tukupedawa dawaza kulinda ndoazamichepuko..

Powerful oil
Powerful soap
Majani top

Zikokwaa ajiliyako..
Hichi ni nini unachofanya huku ? Mbona hueleweki au na wewe unawanga ?
 
Unandoaaa zinakusumbuaa.. Ndotoza ajabuu ajabuuu watuwanakusema marakwamara kwenye mablog mtaalam Pdidy yukokwa ajiliyako njooubungo njeyamsikiti oilcom tukupedawa dawaza kulinda ndoazamichepuko..

Powerful oil
Powerful soap
Majani top

Zikokwaa ajiliyako..

Hiyo Label tu utata. Research ilivyoandikwa!!!
 
Faiza sio "mdini"ila nikiboko ya wadini "mazombie" humu jukwaani,kuna kipindi faiza foxy alikuwa ni jeshi la mtu mmoja.faiza anawaongelea watu wengi she is the voice of the voiceless.
 
Back
Top Bottom