Nani mkweli kwenye hili la uchawi kati ya FaizaFoxy na mshana jr?

powerful oil
Powerful soap
Tunaondoa Uganga NA uchawi wote uliofanyiwa na kukulinda NA mizimu yaukoobei rahisi Katniss masharti nafuu

Tuko oilcom ubungoonjeyamsikiti


Nimeipatasehemuuu hiii nkasemaitawasaidia washiriki
 

Attachments

  • img_20150716_134951-1.jpg
    img_20150716_134951-1.jpg
    14.2 KB · Views: 73
  • oil.jpg
    oil.jpg
    17.7 KB · Views: 70
  • powerful-soap.jpg
    powerful-soap.jpg
    3.8 KB · Views: 71
  • img_20151004_075013.jpg
    img_20151004_075013.jpg
    15 KB · Views: 71
  • img_20151004_081357.jpg
    img_20151004_081357.jpg
    14.8 KB · Views: 72
Unandoaaa zinakusumbuaa.. Ndotoza ajabuu ajabuuu watuwanakusema marakwamara kwenye mablog mtaalam Pdidy yukokwa ajiliyako njooubungo njeyamsikiti oilcom tukupedawa dawaza kulinda ndoazamichepuko..

Powerful oil
Powerful soap
Majani top

Zikokwaa ajiliyako..
 

Attachments

  • img_20150716_134951-1.jpg
    img_20150716_134951-1.jpg
    14.2 KB · Views: 64
  • oil.jpg
    oil.jpg
    17.7 KB · Views: 67
  • powerful-soap.jpg
    powerful-soap.jpg
    3.8 KB · Views: 66
Hahahaahahhaahahahah nchi ya viwanda asee itapatikana kweli ? wananch wanashindana nani anaijuwa miziziology ?

Hahahahah sasa hapa mwanga zaid ya mwenzake ni yupi Faiza Foxy vis mshana jr

Aaa safari ni ndef sasa wanga washaanza kujitokeza
Vis ni nini mkuu? Ama ulikusudia ka vitz
 
powerful oil
Powerful soap
Tunaondoa Uganga NA uchawi wote uliofanyiwa na kukulinda NA mizimu yaukoobei rahisi Katniss masharti nafuu

Tuko oilcom ubungoonjeyamsikiti


Nimeipatasehemuuu hiii nkasemaitawasaidia washiriki
Sijaona za nguvu za kiume mkuu
 
We itakua umeathirika na ulaji wa kitimoto,hivi kuna mtu anajadili vitu with evidence kama faiza?sidhani,acha chuki kama uko mweupe kichwani elewa kuna watu wanauwezo mzuri wa kufahamu mambo,hebu niandikie uzushi wowote ulioletwa na faiza ntaomba mods wanitoe milele
Huo ni ushabiki wa kitoto kuingiza kitimoto au udini eti Mods wakutoe. Huwezi mfananisha Mshana verified user kwa picha na jina, wakati hatavukimtafuta kwa simu unampata. Naomba Mods wakutoe ukishindwa kutupa picha halisi ya Faiza fox no yake ya simu na hasa jinsia (ni mwanaume) Mm nashangaa Member na hasa mleta Mada kuchonganisha hawa waanzisha thread kila siku, sijui mnataka walete za Siasa? au wasichangie kabisa? Faiza Fox ana uzi wake kabisa kasema tumuulize lolote Mshana pia sasa huu uzi ni wa nini Mods ufunge kwani hawa watu ni wakazi wa mtaa mmoja Dar, DINI moja, Watanzania hawajatuchosha ila wafitini wanakuja
 
utoto huu raha sana, nikajua jambo la maana kumbe kupinga eti hakuna uchawi wa "zongo"

kama hujui bora ukae kimya uchawi huo upo ye kama anajua zongo kwa maana yake yuko sahihi pia.

nnacho furahi mshana huwa hajishughulishi na faiza, ila faiza ndo anahangaika na jamaa alafu jamaa alishakataa kumjibu kitu.

jibu la swali lako: wote wakweli kulingana na uelewa wao
 
Mshana Jr yuko poa anaweza kwenda na WATU WA aina YOTE.. Faizafoxy yeye anaweza kuona umeandika thread ya kipuuzi ndo yeye akachangia Ila YENYE maana anaweza kuona typing errors tu.. Mshana jr Hana husuda Faizafoxy hajui kuelimisha Sana ingawa Ana UWEZO mkubwa kiakili
 
Back
Top Bottom