nani mkali

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
 
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
Fally Ipupa mkali, lakini mambo yote Werrason sikiliza kitu Techno Malewa babaa.
 
werason nguli asiyechuja mwenye kasi na kwenda na muda na mwenye kujua hadhira inataka nini wakati gani, acheni dharau na kumtafutia mshindani ambaye hata yeye huyo mshindani anajua kama wera ni mikosi!huwezi kufananisha nguli na chipukizi!....fally mkali zaidi ya golla ila si mkali zaidi ya wera
 
Back
Top Bottom