Nani mkali jf jokes?

nelly nely

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
665
229
Mwezi ndo umeisha ivo,kona ya jokes kama kawaida pumba zimeshamiri,nani ameongoza kwa jokes kali?binafsi,japo kwa muda mfupi, Excellent ameongoza.Na nna top ten kichwani pia............
 
Thanks mkuu kuniweka top ten,ila mimi namkubali Jaguar
 
ekiselenti mkali,ila kuna wengine wakali kama yeye kama ousofia,jaguar
 
Ebana Mentor na Mohamed Shossi, Chatu Dume, Viper, wako wapi awa jamaa?
 
Me top 10 yangu ni hii
1]excelent
2]jaguar
3]bujibuji
4]ousofia
5]mentor
6]chatu dume
7]shossi
8]katavi
9]viper
10]mohamed
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom