Nani mkali hapa

May Be

Member
Sep 5, 2011
42
13
Ndugu zangu wa hili jukwaa mimi huwa nacheka sana kwa jokes zenu,kweli mnafanya siku yangu iende vizuri,ahsanteni sana.Ila mi ningependa utaje watu wako ambao huwa kwenye hili jukwaa unafurahi ukiona jokes zao.
 
una mpango wa kuwapa kombe au tutaje tu alimradi tumetaja?
 
Ndugu zangu wa hili jukwaa mimi huwa nacheka sana kwa jokes zenu,kweli mnafanya siku yangu iende vizuri,ahsanteni sana.Ila mi ningependa utaje watu wako ambao huwa kwenye hili jukwaa unafurahi ukiona jokes zao.

we mwenyewe mbona mkal au ujitambui
 
mie nikiona zako maana huwa navuta picha ina maana SAYARI nayo inaongea.lol
 
Back
Top Bottom