Nani mcheshi zaidi na mtu serious zaidi JF?

sasa humu kuna omba omba??halafu hilo la punyeto niliuliza kama zipo,na wewe inabidi uulize dawa ya kuacha kukojoa,kikojozi wewe
Na wewe ni Gt ? Mbona hilo la kukojoa nilishasema hapo juu kwamba sio kweli ni mfano nilioutoa tu
Hapa unaniita kikojozi tena huoni kama unanipa umaarufu ulioukataa hapo mwanzo kwamba hapa ni kwa ma GT niache ujinga
 
ndio maana nabishana na wewe ili uwe JF-Expert member wala sipo serious
Nilichouliza hujakijibu Mkuu ,Nashukuru kwa Muda wako japo sijui ni nini faida ya kuwa Jf-Expert Member

Uwe na jioni/Mchana/Usiku/Asubuhi njema
 
kuanzia leo we adui yangu
Sipo hapa Jf kwa ajili hiyo ,mpaka hapa umejidhalilisha tu na sio kweli kwamba wote waliopo humu ni Great thinkers ,hakuna GT anaye tafuta uadui na ID za jamii Forum kisa tu mmepishana au hamkubaliani kwa jambo fulani

Na mbaya zaidi unajiita The Book fanya kusoma hivyo vitabu maarifa mengi yamefichwa humo
 
maADUI ni watu ambao hawaelewani kwa kuwa mimi na wewe hatuelewani basi ni maadui!ila sio laziiiima unung'uniiike mkuu ndo changamoto za humu
 
POVU kwa kisasa ni maneno yasemwayo na mtu kwa mtu mwingine kwa manung'uniko,ebu nifollow kwanza tuwe pamoja
Asante nitafanya hivyo nitakapo ingia jamii forum kwa kutumia browser ,sasa hivi natumia Jf App na kwa sababu kadhaa zilizo ndani ya uwezo wangu siwezi ku login kwa kutumia Browser
 
Back
Top Bottom