Elections 2010 Nani kuwa waziri mkuu 2011 tanzania.......spika je?

samahani, ashakuma si matusi ila nadhani wewe hujui ulisemalo...
hiyo bajeti inashinda gharama ya yale mashanginigi V8?
Inaweza pita ya nyumba ya gavana?
inaweza pita ya zile posho za vikao visivyokwisha?
inaweza pita gharama za safari zisizokweisha za mkulu na watu wake kedekede?
iaweza kuzidi gharama za mikutano ya kimataifa iliyozidi kiasi kwamba nchi imekua kama conferecne center?
inaweza kuzidi gharama za kulipia mafuta ya kuzalisha umeme?
inweza kuzidi gharama ya EPA na mengineyo?
inaweza kuzidi gharama ya kampeni kwa mtu ambaye ameshashinda? hata kama ni ushindi wowote ule?

we need quality and if Pinda deserves to be a PM so be it! ila tusiseme abaki kwasababu gharama kubwa... kwa taarifa yako mfumo wetu haujali gharama, kama unabisha angalia overheads za wizara zetu

Mbona hujaweka gharama na maposho,marupurupu ya wabunge au nawe umo umo?!
 
Back
Top Bottom