Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Olesendeka, Mwakyembe, Kilango, Six na wa namna hiyo. Hapo vipi?:mmph:

Mkuu, hao uliowataja nao ni mafisaad tosha, mapambano yao yalitokana na wivu wa kuzidiwa maarifa na wenzao, siyo ukombozi wa mlala hoi. Kama siyo njaa mbona hao wawili hawakukataa uwaziri wa kifisadi na mashangingi? Huyo sendeka hajui kusoma na kuandika! Kilango naye, aa ngoja ninyamaze tu
 
Katibu Mkuu mpya atakuwa Wilson Mukama, ... I stand to be corrected.

Kama Kikwete atafanya uamuzi huo wa kumpa kazi ya ukatibu mkuu Wilson Mukama then ccm itaongozwa kisomi kidogo!! It will be a serious appointmeni kuliko wakina Lukuvi na Nchimbi wenye vyeti vya elimu vya Mtaani/kufoji!!
 
WanaJF, tutakuwa tunapoteza wakati kujadili Katibu Mkuu wa CDM badala ya Katibu Mkuu wa CCM. CDM ina Slaa hadi August 2013. CCM leo hawana Katibu Mkuu kwa vile JK kavunja Secretariat.
 
WanaJF, tutakuwa tunapoteza wakati kujadili Katibu Mkuu wa CDM badala ya Katibu Mkuu wa CCM. CDM ina Slaa hadi August 2013. CCM leo hawana Katibu Mkuu kwa vile JK kavunja Secretariat.

You made me laugh!

wanaojadili CDM ni members wa CDM
watakaojadili katibu wa CCM ni members wa CCM

Let say mimi ni CUF, kujua katibu wa ccm au cdm inanisaidia nini?

wewe ni mwanachama wa chama gani?

LOL!
 
Wewe dada vipi unataka kujua jina langu uanze kunisumbua kwa simu?

HASWAA ni pumba kama hizi zinawafanya mzomewe mara zote. Si wabunge wenu wala wajumbe wa mashina wote lenu moja. Ndio maana mkakusanya watoto wa mitaani kwenda kufanya fujo kwenye kamati ya bunge. Matokeo yake wakaishia kusinzia kwa njaa maana hata maji tu ya kunywa hamkuwapa mlivyo na roho mbaya.
 
Chama cha mazabe (ccm) kipo kimazabe,kina maamuzi ya kimazabe,waliokuwa wanakitakia mema chama hicho waliskitika kitendo cha kumtosa kiongozi makini kw nafasi ya katibu mkuu km philipo mangula,akawekwa mzee wa mipasho mwenye upeo mdogo km kichwa cha dagaa makamba.yeye aliingia kw kasi kubwa ya kumalizia kukibomoa chama maana ufisadi ulikuwa tayari umekitafuna.wazee wenye kuheshmika ndani na nje ya nchi wakiwemo wale wa taasisi ya mwalimu nyerere walipomtaka kikwete achukue maamuzi magumu walibezwa na makamba na kikwete mwenyewe wakaambiwa wana roho ya korosho eti kw sababu waliukosa urais nawengine watu waliokuwa wanawapigia debe waliangushwa na kikwete ndomana wana wivu.wazee wa watu kwa busara waliyokuwa nayo wakatumia methali ya kiswahili ukibishana na mjinga nawe utakuwa mjinga,leo takribani miaka miwili imepita kikwete anachukua maamuzi km wazee walivyo mshauri,lkn ajabu ya mwaka km si karne anachukua maamuzi haya kw shingo upande.nihitimishe tu kwa kusema kwamba chama kinachopata wafuasi wake kimazabe,wafuasi wake nao watafanya kazi za kisiasa kimazabe mf tambwe,wasira,ngawaiya nk.na mwisho hukiua chama kimazabe.
 
Ngojeni kwanza mnaropoka tu hapa hajajua kuwa ni mpaka yule mtaalamu aseme! Tunasubiri tamko la Sheikh wa pale magomeni mwembechai! Shhhhhhhhhhhhhh subirini msimharibie na kelele zenu!
 
Jamani kuweni serious basi tumsaidie ajue amteue nani kunusuru chama na urahisi wake

Sheikh yuko kwenye hatua za mwisho kumpata katibu wetu. Nimepata taarifa kuwa Prof. Maji Marefu kaitwa na Sheikh kupitia mapendekezo!
 
Mimi ni mchango wangu tu! Kwa kuzingatia mchango mkubwa wa Kingunge Ngombale Mwiru, wa kutumikia chama kwa uadilifu mkubwa mimi napendekeza JK amteue Kinjekitile Kingunge Ngombale Mwiru kuwa Ktibu mpya wa CCM!
Nawasilisha maoni yangu wewe unaona nani awe?
 
Mimi ni mchango wangu tu! Kwa kuzingatia mchango mkubwa wa Kingunge Ngombale Mwiru, wa kutumikia chama kwa uadilifu mkubwa mimi napendekeza JK amteue Kinjekitile Kingunge Ngombale Mwiru kuwa Ktibu mpya wa CCM!
Nawasilisha maoni yangu wewe unaona nani awe?


Hapo hamna kitu, kama wapo serious wamrejesha kutoka ubalozini Capt Mstaafu Jaka Mwambi atasaidia, ametulia na ameshawahi kuwa naibu Katibu Mkuu mwadilifu
 
Back
Top Bottom