Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

Now this is very serious jamani..............mnamuonaje Asha Baraka??? MNEC yule!!!!!!!!
 
Yoyote yule watakayempa nafasi hiyo bado Watanzania wengi tutakiona chama hicho ni chama cha mafisadi/majambazi na ndiyo kikwazo kikubwa cha nchi yetu kupata maendeleo ya kutia moyo pamoja na utajiri mkubwa wa rasilimali tulionao. Kama alivyosema mchangiaji mmoja katika thread hii kwamba...la kuvunda halina ubani.
 
Kama ni Kapt. Jaka Mwambi basi CCM itabadilika na labda kuinusuru na kufika sehemu.

Balozi nchini Urusi. Mwanachama mzuri wa CCM. CCM ipo kwenye damu kabisa, huyu ni kweli ukimkata anatoka damu ya kijani na njano na bado anadumisha fikra za baba wa Taifa. Nikiwa na maana ya kuwa ni muadilifu, muogopa Mungu na Mzalendo wa kweli wa nchi yake. Wenye kumjua hamna atakayepinga haya.

Digrii yake ya kwanza amesomea Chuo Kikuu Dar es Salaam mlimani, Digrii yake ya pili yaani ya Masters ameipatia Chuo kikuu cha Kiev (Ukraine sasa) wakati ikiwa chini ya Urusi na naamini kabla ya mwisho wa mwaka atakuwa na stashahada yake ya udaktari.

Amekuzwa na chama, baada ya kumaliza shule alishika nafasi tofauti mkuu wa wilaya wa kinondoni, pwani (bagamoyo), masasi. Katika viongozi wa Kitanzania ambao wanaweza kujivunia rekodi yao basi Kapt. Mwambi ni mmoja ya hao wachache. Kwani yeye ndiye aliyeweza kuanzisha na kuleta mafanikio makubwa ya program ya Ondoa Njaa Masasi (ONJAMA) katika miaka ya themanini (tafadhali google uone mafanikio ya ONJAMA). ONJAMA imekuwa ni mfano wa kuigwa hapa nchini na duniani kote (UNESCO waliifagilia sana).
Amekuwa mkuu wa Mkoa wa Tanga na Rukwa. Sasa ni balozi nchini Urusi na ni balozi mwenye kusifiwa sana na Rais na Waziri wake kwani yeye ndiye mwenye kuongoza kwa mfano kitu alichotumwa na Rais wake, Diplomasia ya Uchumi.

Anaongea kirusi bila matatizo. Ni mtu wa Morogoro na mcha Mungu mzuri sana.

Kwa kweli huyu anatakiwa kuwa kwenye serikali kuu na sio kwenye chama wala ubalozini. Basi kama CCM watamfanya kuwa Katibu Mkuu na kumuachia afanye kazi yake basi naamini ataweza kuwasogezasogeza kwani ni mtu mwenye kupenda kuona matokeo.
 
huenda wakawepo viongoz wachache sana waadilifu ndani ya CCM lakini kuwateua hao katika secretariet ya chama ni kutangaza vita ya wazi baina yao na kundi kubwa la mafisadi tena lenye ushawishi wa fedha.
 
Kama ni Kapt. Jaka Mwambi basi CCM itabadilika na labda kuinusuru na kufika sehemu.

Balozi nchini Urusi. Mwanachama mzuri wa CCM. CCM ipo kwenye damu kabisa, huyu ni kweli ukimkata anatoka damu ya kijani na njano na bado anadumisha fikra za baba wa Taifa. Nikiwa na maana ya kuwa ni muadilifu, muogopa Mungu na Mzalendo wa kweli wa nchi yake. Wenye kumjua hamna atakayepinga haya.

Digrii yake ya kwanza amesomea Chuo Kikuu Dar es Salaam mlimani, Digrii yake ya pili yaani ya Masters ameipatia Chuo kikuu cha Kiev (Ukraine sasa) wakati ikiwa chini ya Urusi na naamini kabla ya mwisho wa mwaka atakuwa na stashahada yake ya udaktari.

Amekuzwa na chama, baada ya kumaliza shule alishika nafasi tofauti mkuu wa wilaya wa kinondoni, pwani (bagamoyo), masasi. Katika viongozi wa Kitanzania ambao wanaweza kujivunia rekodi yao basi Kapt. Mwambi ni mmoja ya hao wachache. Kwani yeye ndiye aliyeweza kuanzisha na kuleta mafanikio makubwa ya program ya Ondoa Njaa Masasi (ONJAMA) katika miaka ya themanini (tafadhali google uone mafanikio ya ONJAMA). ONJAMA imekuwa ni mfano wa kuigwa hapa nchini na duniani kote (UNESCO waliifagilia sana).
Amekuwa mkuu wa Mkoa wa Tanga na Rukwa. Sasa ni balozi nchini Urusi na ni balozi mwenye kusifiwa sana na Rais na Waziri wake kwani yeye ndiye mwenye kuongoza kwa mfano kitu alichotumwa na Rais wake, Diplomasia ya Uchumi.

Anaongea kirusi bila matatizo. Ni mtu wa Morogoro na mcha Mungu mzuri sana.

Kwa kweli huyu anatakiwa kuwa kwenye serikali kuu na sio kwenye chama wala ubalozini. Basi kama CCM watamfanya kuwa Katibu Mkuu na kumuachia afanye kazi yake basi naamini ataweza kuwasogezasogeza kwani ni mtu mwenye kupenda kuona matokeo.
Sifa zooooteee hizo je ana pesa? maana ndiyo sifa kuu yao.
 
Nasikia Vick Kamata ndo anapewa nafasi ya kutwaa Ukatibu mkuu wa ccm Taifa. . .
 
ni KINANA 2011 AS KATYUBU MKUU CCM,hii lazima kwa sababu kuu kama ifuatavyo.
*Ni muislam kama makamba.
*Ana elimu ya kutosha na uelewa wa kutosha kuliko makamba,ndani ya chama,nje ya chama na pia kimataifa.
*Ni wakati muafaka kwake kupewa shukurani,baada ya kazi ngumu ya kumnadi kikwete (kampeni za urais)
*Hana kundi rasmi kati ya wanaohasimiana ndani ya ccm.
*Na ile SCANDAL yake ya DRY CLEANER MACHINE mt meru hospital 1996 ilikwishasahaulika!!.........nk.
 
La kuvunda halina ubani bana!

Hakuvunja secretariat kwa sababu imeshindwa kazi bali kwa sababu kumetokea hoja ya kutenganisha mkti na rais, fungukeni macho!

Kama lengo ni kutenganisha kati ya M/kiti na Rais basi nina wasiwasi mambo yatazidi kuwa mabaya CCM....Kuna hatari ya chama kuchukuliwa totaly na mafisadi......
 
Basi abaki Makamba maana nikifikiria waropokaji ni yeye au Anna Kilango. Mamaaaa nilimsahau sofia simba. Llabda safari hii wafanye na gender balance

Sofoa simba ili afanye kampeni tukiinyima ccm kura wake zetu watunyime unyumba! Umesahau kauli yake? Twafaaaaaa!
 
Kutokana na kile kinachoendelea huko dodoma,kuna uwezekano mkubwa sana kwa kumuweka katibu mkuu wa chama mwanamke,lakin pia kuna uwezekano mkubwa sana hata mgombea urais wa ccm mwaka 2015 akawa mwanamke,hasa yule atakayeweza kulinda maslah ya jk ambae nae amefanya madudu meng,hili linahusianishwa pia na katiba mpya itakayopatikana,ambayo huenda ikaondoa kinga ya rais au rais mstaafu.
 
The mafisadi got what they wanted. Si mnajua CHAOS THEORY!! They created chaos within the party which inturn resulted in formation of groups fighting each other in all ranks of the party. Sasa now that they have divieded CCM, all thats left for them is to topel its leadership (conqure)
Huyo katibu anaye kuja ni fisadi tu!! No matter his/her record, kazi yake ndani ya chama atakua ku protect interest za walio mpa nafasi ya ukatibu (si mliwaona juzi juzi kwenye T.V. wakijubu kashfa nakutoa opinion zao!!
 
Back
Top Bottom