Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
tusubiri utabiri na ubashiri sasa yatosha. Saa zinayoyoma kweli kweli. It's gonna be a big surprise 2 us and rest of tanzanians
 
Yahe mie nasubiria hiyo waziri nkuu itajwe, nani mwenye nayo taarifa ati atugaie na sie, mbona mwatuweke matumbo juu juu kama mkungu wa ndizi yakhe? aah mie sipendi ati, kwani huyu blazamani atakani? mbona saa kumi unusu na azana kishapita kakaaa kimya tu!!! amtangaze basi kama aogopa gharama basi tumlete maalim seif awe waziri nkuu, si nchi moja? washangaani sasa, mie nipo hapa Nchambawima nasubiria
 
Nchi inasikitisha sana. Msishangae waziri Mkuu ni Lowasa kwee kweliiii!!! Tunaikama hiyo bahasha yenye Jina kama ni kibaka aliyechaguliwa kuwa waziri mkuu basi itajibadilisha yenyewe.
 
PINDA keshajichokea hawezi siasa za Bongo mzee wa watu, na hivi kamoyo kake kadogo si ndio atalia mpaka basi...
tulimsema kidogo tu kuhusu alivyosema wauaji wa albino nao wauawe akalia mpaka tukamuonea huruma , tukimpa urais tukimlazimisha awatoe mafisadi si ndio atalia mpaka azimie???:smile:

kweli pinda analia lia sana halafu ana milioni 25 tu kwenye akaunti hahaha:nono:
 
Broken newz; aaahh breaking news; PM ni HB ndg Maembe.....hapo je? hii nayo sio super rise?
 
Hivi lakini kuna mmoja wetu anafuatilia kwenye redio au TV JAMANI? Isijekuwa twapiga stori hapa kumbe LOWASA keshatangazwa waziri mkuu, hebu naombeni wapendwa kama kuna mtu anafuatlilia atujuze basi, binafsi bado nipo kwa ofisi, asanteni
 
Utabiri wangu unanionyesha Vicky Kamatwa soorry KAMATA aweza kua PM!!!! hahaaaahaaaaa

CCM hawashindwi jambo jamani!!! kama vile wako nchi ya kusadikika
 
Hivi lakini kuna mmoja wetu anafuatilia kwenye redio au TV JAMANI? Isijekuwa twapiga stori hapa kumbe LOWASA keshatangazwa waziri mkuu, hebu naombeni wapendwa kama kuna mtu anafuatlilia atujuze basi, binafsi bado nipo kwa ofisi, asanteni
 
Yahe mie nasubiria hiyo waziri nkuu itajwe, nani mwenye nayo taarifa ati atugaie na sie, mbona mwatuweke matumbo juu juu kama mkungu wa ndizi yakhe? aah mie sipendi ati, kwani huyu blazamani atakani? mbona saa kumi unusu na azana kishapita kakaaa kimya tu!!! amtangaze basi kama aogopa gharama basi tumlete maalim seif awe waziri nkuu, si nchi moja? washangaani sasa, mie nipo hapa Nchambawima nasubiria
 
Yahe mie nasubiria hiyo waziri nkuu itajwe, nani mwenye nayo taarifa ati atugaie na sie, mbona mwatuweke matumbo juu juu kama mkungu wa ndizi yakhe? aah mie sipendi ati, kwani huyu blazamani atakani? mbona saa kumi unusu na azana kishapita kakaaa kimya tu!!! amtangaze basi kama aogopa gharama basi tumlete maalim seif awe waziri nkuu, si nchi moja? washangaani sasa, mie nipo hapa Nchambawima nasubiria
Usihofu kwa JF naamini kuna watu wako jikoni kabisa wataleta mambo.
 
JK, MP wote walinzi wa Ufisadi hawafai, hakuna mchezaji mzuri atachezea timu ya CCM, kawaulize vijana wapinga FISADI kina NAPE wako wapi, peleka uwe DC ukanyamaze huko.

JK,MP Ombaomba- hata neti wameomba kwa Bush, neti zenyewe ni 2.2 X 3 mimi nafugia vifaranga wasiliwe na kunguru maana havitoshi kwenye vitanda vyangu, CCM ovyooooooooo heshima yao ilishakwisha enzi za JK halisi ni Nyerere peke yake naweza mpigia kura akifufuka! toba!

JK, MP wote wanalalamika badala ya kutoa maamuzi, watoto wanalalamika na wazazi pia Ovyo zaidi

Kimsingi fikra na THINK TANK ya CCM ilishakuwa outdated, ni masikini tu wasiojua ndo hukipigia kura kwa kuogopa wengine wameambiwa wataleta vita!

MWISHO WA MAFISADI WATASHITAKIWA TU, KAMUULIZE TAREQ AZIZ WA IRAQ mwaka 1982 alipiga Wakurdi kwa sumu na kuuwa vijiji hakutegemea watatawala wengine, leo amehukumiwa kunyongwa!

CCM na Mafisadi MWISHO WAO NI MBAYA!!!!!!!!!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Isimilo
Intimacy zinaniambia 6 kuwa PM

Intimacy? Kikwete mpenzi wako?

Forgive 7x70 Per Day. Jesus Quote. I therefore forgive you free of charge. be blessed
 
JK, MP wote walinzi wa Ufisadi hawafai, hakuna mchezaji mzuri atachezea timu ya CCM, kawaulize vijana wapinga FISADI kina NAPE wako wapi, peleka uwe DC ukanyamaze huko.

JK,MP Ombaomba- hata neti wameomba kwa Bush, neti zenyewe ni 2.2 X 3 mimi nafugia vifaranga wasiliwe na kunguru maana havitoshi kwenye vitanda vyangu, CCM ovyooooooooo heshima yao ilishakwisha enzi za JK halisi ni Nyerere peke yake naweza mpigia kura akifufuka! toba!

JK, MP wote wanalalamika badala ya kutoa maamuzi, watoto wanalalamika na wazazi pia Ovyo zaidi

Kimsingi fikra na THINK TANK ya CCM ilishakuwa outdated, ni masikini tu wasiojua ndo hukipigia kura kwa kuogopa wengine wameambiwa wataleta vita!

MWISHO WA MAFISADI WATASHITAKIWA TU, KAMUULIZE TAREQ AZIZ WA IRAQ mwaka 1982 alipiga Wakurdi kwa sumu na kuuwa vijiji hakutegemea watatawala wengine, leo amehukumiwa kunyongwa!

CCM na Mafisadi MWISHO WAO NI MBAYA!!!!!!!!!
Hili nalo neno!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom