Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

Kwa hali tuliyona taifa letu linayumba watu hawafanyi kazi,uadirifu hakuna nafasi za kazi tangu ngazi ya uwaziri in kujuana name urafiki,usimamizi mzuri na uchapa kazi kwa faida ya watanzania hakuna.
He kati ya Hawa nani anaweza kuyakomesha Haya ambayo ni Kero kwa watanzania?
1,JAJI RAMADHANI
2,MAGUFULI
3,LOWASA

Umekosea kumuweka lowasa ondoa jina la lowasa muweke mwandosya
 
Really. Dr. Mwakyembe na Dr. Magufuli sioni uwezekano wa wao kuwa mafisad na sioni uwezekano wa wao kufumbia macho ufisadi.
Na wawili hawa machoni pa wapiga kura wanaonekana ni wachapa kazi , jasiri na waadilifu.
Kwa hali taifa letu lilipofikia tunahitaj rais mwenye sifa hizo
 
Hii nchi maraisi ni wawili tu ambao hawatakuja tokea tena. Wa kwanza alikuwa Mwl. JKN na wa mwisho ni Dr. Wilbrod Slaa raisi wa mioyo ya watanzania ukiwemo na wewe mleta mada.
 
Really. Dr. Mwakyembe na Dr. Magufuli sioni uwezekano wa wao kuwa mafisad na sioni uwezekano wa wao kufumbia macho ufisadi.
Na wawili hawa machoni pa wapiga kura wanaonekana ni wachapa kazi , jasiri na waadilifu.
Kwa hali taifa letu lilipofikia tunahitaj rais mwenye sifa hizo

hakuna jipya kama ni kwa kupitia ccm. sera ya ccm ni kulindana. rais bora kwa sasa hawezi toka ndani ya ccm kamwe....
 
CCM wana uwezo wa kuongoza nchi hii lakini watanzania wengi wanamhitaji Ngoyaye Lowasa Edward inaonekana wenye chama hawataki. Kwani kuwapata wale watano hali imeleta tafrani kubwa.
 
Back
Top Bottom