Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

sasa km ktk hawa wabunge wa CCM kuna rais...CDM itakuwa na nani sasa?Itakuwa na Pope?
 
hayupo hata mmoja, kuna bubu mmoja alikwapua Richmond akachinjiwa mtoni eti na ububu wake wa miaka minane leo anataka awe rais, hivi akili iko kweli huyu jamaa?
 
hayupo hata mmoja, kuna bubu mmoja alikwapua Richmond akachinjiwa mtoni eti na ububu wake wa miaka minane leo anataka awe rais, hivi akili iko kweli huyu jamaa?
haha...huyu bubu hata akiongea utacheka hajui anaongea nini?hana mawasiliano ya anachoongea na ule utundu wake wa kamati za mipango.Siku hizi huwa anarudiarudia tuu slogans wanazompandikizia wapambe na wachunaji wake...
 
Kwa hali tuliyona taifa letu linayumba watu hawafanyi kazi,uadirifu hakuna nafasi za kazi tangu ngazi ya uwaziri in kujuana name urafiki,usimamizi mzuri na uchapa kazi kwa faida ya watanzania hakuna.
He kati ya Hawa nani anaweza kuyakomesha Haya ambayo ni Kero kwa watanzania?
1,JAJI RAMADHANI
2,MAGUFULI
3,LOWASA
 
Nothing good can come from ccm! Dr. Slaa will make a good president. To prove this wait and see how pro ccm will start shoutung about Dr.Slaa. It really a serious threat to them!
 
Mtoa maada mwenyewe umesha choka,unatuletea yaleyale,inaelekea mleta maada umesha lipwa buku 7 halafu utu letee yaleyale wa tz si huko tulishatoka kitambo!!!
 
Ili uwe fair ongeza na jina la dr slaa wa ukweeeli.... Na apo utamjua ni nani tunamtaka awe raisi wetu
 
CCM hakuna mtu wa kuwa Rais,wote ni km wamekufa tu.bora ht mtikila awe rais
 
Kwa hali tuliyona taifa letu linayumba watu hawafanyi kazi,uadirifu hakuna nafasi za kazi tangu ngazi ya uwaziri in kujuana name urafiki,usimamizi mzuri na uchapa kazi kwa faida ya watanzania hakuna.
He kati ya Hawa nani anaweza kuyakomesha Haya ambayo ni Kero kwa watanzania?
1,JAJI RAMADHANI
2,MAGUFULI
3,LOWASA

woote hao uliowafikiria hawafai hata kidogo
 
rais akitoka ndani ya ccm mambo ni yaleyale. tatizo la matatizo mengi ya taifa letu ni ya kimfumo. wa kuufumua huo mfumo hawezi toka ndani ya ccm kamwe. lazima atoke nje ya ccm. kwa sasa rais bora hawezi toka ndani ya ccm kamwe.
 
Back
Top Bottom