Nani kiongozi wa waasi Syria?

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
Samahani hivi kiongozi wa waasi syiria ni nani? Asadi ndio anaepingwa wanaompinga ni akina nani na shida nini..... Hawachoki nchi za kiarabu note kumepoaa wore wameng'oka Assadi kakomaa.. Nani yupo nyuma ya asadi na nani yupo nyuma ya waasi ...

Uganda kiongozi wa waasi konyi

Kongo Lola kunda wakati ule

Syria nani kiongozi wa waasi
 
Kwanza niseme umeuliza swali zuri sana,pili ni kuwa kiongozi wa waazi syria ni aboubakr al baghdad,nasema hivi kwa sababu vita vinavoendeshwa syria kwa aslimia kubwa ni kati ya islamic state na vikosi vya serikali,nyuma ya islamic state viko vikundi kama free syrian army ambacho kinapokea maelekezo toka kwa islamic state.tatu serikali ya assad inaungwa mkono na hezbullah washia kutoka iran,pia suala la assad kuendelea kuhimili vita ile hadi leo huku akiwaacha watu kama alli abdullah saleh wa yemen,ben alli ebidin zine wa tunisia na hata mors wa misri ni kuwa urusi anamuunga sana mkono assad bila kusahau iran iliyotoa kundi lake la hizbullah kumsaidia.mbali na hayo pia kuna suala la kidini unajua assad ni mshia wa madhehebu ya allawi na iran ni shia ya uajemi ndio maana wanampa nguvu ya kutosha.ni hayo tu lakini kuna mengi mengine,tutajuzana.
 
Huna lolote bhanaaaa,humdanganyi MTU hapa
 
Hizballah tafsiri ni jeshi la mungu.
Hizballah sio wairani ni walebanon
Jirani na syria hapo!
Kama ukikumbuka miaka ya nyuma hazballah walipigana vikali sana na israel.
 
Back
Top Bottom