Nani kifaru? Dr.kikwete au dr.slaa?

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Embu tuchambue kwa undani bila biase,kwa kupiga kura tufahamu nani atakuwa KIFARU hawa jamaa wawili wakikaa kwenye TV au Radio kwa mahojiano ya moja kwa moja na wananchi wenzao wa Tanzania. PIGA KURA YAKO KWA KUANDIKA DR.KIKWETE AU DR. SLAA
 
Kifaru katika nini? kuwakutanisha katika nini? may be sijakuelewa , you will excuse me

Are you serious, I am not mfuasi wa chadema, but will never even think to compare Slaa and Kikwete in political, intelectual and leadership aspects. You can only compare them biologically, they are both male!

Slaa kamuacha mbali sana Kikwete kisiasa, kiakili na katika issues nyingi za uongozi

Next time be at least serious, for mature mind, just live as if you dont have president in this country!, dont even mention his name if you can..please!
 
Labda ungeweka vigezo

Mfano
Elimu Slaa
Afya Slaa
Sura Kik
Taarifa Slaa
Makosa Ki
Ufisadi wewe
Udini mimi

NK:israel:
 
Kifaru inaweza kuwa yule mnyama asiyetumia akili bali hasira zaidi, ppia kifaru kinaweza kuwa kimba la kinyesi kililosimama...Sasa sidhani kama kuna mtu anaelewa mantiki ya mada hii?
 
Mmmh, hivi vifaru nao wakitulinganisha itakiwaje? point noted with thanks kuwa SILAHA itaibuka na ushindi
 
Back
Top Bottom