Nani keshapata? toa ushuhuda

mimi nilipata na nilikuja kushukuru.....na tupo pamoja hapahapa tunaliendeleza libeneke......ungependa kumjua.....?

Mi ningependa kumfahamu tu, KUMJUA ni hatua nyingine
 
Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1
 
Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1

naomba niwe shahidi yake......alileta picha hapa na paka ni wazuri na wana afya njema....nimesahau jina la huyo member.....ningekuletea hiyo thread.......

Similar Discussions

Back
Top Bottom