Nani katoa kibali cha ujenzi hapa??

Asante Small Maza, kuna wana JF siyo critical thinkers.
Hapa najaribu kuonyesha kwanza uhatari wa kujenga kwa kuikumbatia miundombinu hatari ya umememe.
Pili hapa , right-of-way ya miundombinu ya umeme inaishia wapi? Kwa maana kwa mtindo huu watu watajenga hata chini ya nyaya za umeme.

kwanini umefikiria kibali cha ujenzi nahujafikiria kibali cha kupisha nguzo kwenye viwanja vya watu ambao tayari walishasubmit na ikawa aproved ramani ya ujenzi. hapa inaonekana jamaa alikuwa keshajipanga na hako karamani chane akakuta nguzo zimepita nayeye kaamua kuendelea na ujenzi wasipokuja kutoa nguzo zao ataitoa mwenyewe kwani hiyo si ni ya kusupport tu hiyo line hivyo athari itakuja baadae wote mantanange tu
 
Mkuu hilo ni eneo la jeshi hakuna mwenye kiwanja maeneo hayo.
 
kwanini umefikiria kibali cha ujenzi nahujafikiria kibali cha kupisha nguzo kwenye viwanja vya watu ambao tayari walishasubmit na ikawa aproved ramani ya ujenzi. hapa inaonekana jamaa alikuwa keshajipanga na hako karamani chane akakuta nguzo zimepita nayeye kaamua kuendelea na ujenzi wasipokuja kutoa nguzo zao ataitoa mwenyewe kwani hiyo si ni ya kusupport tu hiyo line hivyo athari itakuja baadae wote mantanange tu

Hiyo nguzo siyo ya juzi hapo, ina umri kuliko hata hizo block ambazo wanaziextend kila kukicha.
 
kwanini umefikiria kibali cha ujenzi nahujafikiria kibali cha kupisha nguzo kwenye viwanja vya watu ambao tayari walishasubmit na ikawa aproved ramani ya ujenzi. hapa inaonekana jamaa alikuwa keshajipanga na hako karamani chane akakuta nguzo zimepita nayeye kaamua kuendelea na ujenzi wasipokuja kutoa nguzo zao ataitoa mwenyewe kwani hiyo si ni ya kusupport tu hiyo line hivyo athari itakuja baadae wote mantanange tu

Mlinzi namba moja wa maisha yako mwenyewe ni wewe mwenyewe.
Sasa hapo tunaona ni sehemu hatarishi, common sense intuambia kwamba badala ya kukumbatia hiyo hatari , TATUA kwanza mgogoro huo wa eneo , kama upo, ndio uendelee na ujenzi.

Sheria zipo kutusaidia tu kutuaidia kuishi kistaarabu.

Hapo naona nguzo za Tanesco zinaweza kulipuka, na kama tunavyowafahamu Tanesco na Zimamoto, maafa hapo ni lazima.

Tukumbuke kuwa eneo hilo la maduka kutakuwepo watu ndani ya hayo majengo.

Huku ni kuhatarisha maisha kwa makusudi, halafu tutalia "bahati mbaya"!
 
Mleta mada anaongelea nguzo ya Tanesco ya kushikiza iko ndani ya nyumba, siyo nafasi kati ya majengo mawili wala baraza kushikamana.
Ukiangalia picha vizuri utaona lenta line haikushikamana kati ya majengo haya mawili, na baraza yake pia kama vile wanatumia kigezo hiki kuendelea na ujenzi japo wananguvu zaidi ya hii yakushawishi Mama Mdogo.
 
kwani kama wameweka kwenye kiwanja changu mimi nifanyeje? niiache nguzo kwenye uwanja wangu? basi hao tanesco nao walipie kwa kuwa wameweka nguzo kwenye kiwanja changu.
 
Hii ni kukosa mawasiliano kati ya TANESCO na Mamlaka za serikali za mitaa (Halmashauri za miji, majiji au manispaa). Kimsingi TANESCO anatakiwa apate kibali/Ruhusa ya kuweka nguzo kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa, kwa mazoea huwa hawafanyi hivyo, na kibaya zaidi wakati wa matatizo kama haya, ikionekana kuna haja ya kutoa hiyo nguzo, Mamlaka hizi, yaani manispaa au jiji inabidi iwalipe TANESCO gharama za kuhamisha nguzo hiyo,,,,,,,,,,,,TANZANIA TANZANIA,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
View attachment 69288
Wakati mwingine nashangaa sana nji hii!!
Huko kipande ya Makongo support ya nguzo inajengewa ndani ya nyumba.
Sasa hizo nguzo za umeme zikioza zitatolewa vipi?

Hapa ni je, zile nguzo za kuonyesha right -of-way ya road reserve inapoishia ipo wapi?
(maarufu kama mipaka ya Magufuli)

Mfano huu ni wa kukiuka wazi wazi sheria ya barabara , maana power lines za TANESCO zinajengwa katika road reserve na eneo hilo ni kwa ajili ya services muhimu za kijamii(ikiwa ni pamoja na mabomba ya maji, simu nk.)
Sasa kujenga namna hii bila hata kutilia maanani usalama wa watumiaji jengo na future road expansion nafikiri ni kukosa future vision kwa wanaojenga maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom