Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani katoa kibali cha ujenzi hapa??

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Oct 25, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 12,593
  Likes Received: 967
  Trophy Points: 280
  View attachment 69288
  Wakati mwingine nashangaa sana nji hii!!
  Huko kipande ya Makongo support ya nguzo inajengewa ndani ya nyumba.
  Sasa hizo nguzo za umeme zikioza zitatolewa vipi?
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu wa shule makongo
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,028
  Likes Received: 800
  Trophy Points: 280
  Inategemea nyumba hiyo ni ya nani!!ingekuwa ni ya kabwela kama mimi ningeshakatwa ma katafunua ya kutosha na kuvunjilia mbali kibanda changu,ila huyo kaombwa!! naye katoa muda ili afikirie kuvunja ama kuacha,hii ni bongo tz.
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ila mkandarasi kaacha nafasi kati ya majengo mawili, hata baraza haijashikamana. Ila paa tu.
   
 5. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hiyo ndiyo bongo,
  mwenye nacho anweza jenga nyumba hata kati ya barabara,
  usiye nacho unanyang'anywa kiwanja chako ukiona!
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,214
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Duh!...
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Usalama upo wapi hapa wa huyo mwenye nyumba?
   
 8. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,879
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Haya maajabu yako Tanzania tu!
   
 9. joramjason

  joramjason JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kibali katoa Mulugo
   
 10. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27,627
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  hujaelewa somo hapo?
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,750
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  dirisha ambapo hiyo nguzo imepita, litakuwa likifungwa vp?
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 27,627
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Hii nyumba itakua maeneo ya UZINI Zanzibar, huko Magufuli hagusi
   
 13. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,700
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160

  Mleta mada anaongelea nguzo ya Tanesco ya kushikiza iko ndani ya nyumba, siyo nafasi kati ya majengo mawili wala baraza kushikamana.
   
 14. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maajabu....
   
 15. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 16,500
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Ah bado kuamini aisee...nipe directions za kufika hapo mkuu!
   
 16. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,546
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  aiseee babangu kwa mtindo huo hata usishangae nguzo kupita katokato ya uwanja wa taifa na airport
   
 17. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,665
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ni mimi. Kwani nini?:confused:
   
 18. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii kali
   
 19. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  aiseeeeeee!.... kweli hii ndo bongo.
   
 20. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 12,593
  Likes Received: 967
  Trophy Points: 280
  Asante Small Maza, kuna wana JF siyo critical thinkers.
  Hapa najaribu kuonyesha kwanza uhatari wa kujenga kwa kuikumbatia miundombinu hatari ya umememe.
  Pili hapa , right-of-way ya miundombinu ya umeme inaishia wapi? Kwa maana kwa mtindo huu watu watajenga hata chini ya nyaya za umeme.
   
Loading...