Elections 2010 Nani kasema wasimamizi wa Uchaguzi hawataki mabadiliko?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika

Last edited by a moderator:
Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika

Mkuu MMKJJ, heshima mbele. Angalau ungeweka ka-uthibitsho kidigo ili unitie furaha na hayo unayosema!
 
Kinachotia moyo ni kuwa wanaotaka mabadiliko siyo wapiga kura hata wasimamizi wa uchaguzi nao wanataka mabadiliko na hivyo msidhani watu wanaweza kuleta uzembe fulani na wakaachwa vile vile.... Hawa ndio watalinda hizi kura kwa uhakika
Nilikuwa aidha nimesahau, au sijafikiria hili!
Hata JWTZ waliopaki magari pale Mwananyamala Hosp pia wanatamani mabadiliko...
Huh...kumbe wakati mwingine tunakuwa unnecessarily waoga!
 
babaangu ambaye ilikuwa ukiongea vibaya kuhusu CCM ni matatizo na alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama kabla ya kustaafu leo hii kanambia mwanangu kura yako itendee haki Mpe DR Slaa .. naona kila mtu anahitaji mabadiriko ..namshuru babaangu kwa kulitambua hilo
 
Katika jimbo langu wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo uchaguzi asilimia kubwa ni waalimu wa shule za msingi. Wasiwasi wangu ni kuwa, kwa kuwa wameondolewa kwenye maeneo yao ya kuishi, hawataweza kupiga kura kwa mujibu wa maelekezo ya Jaji Lweis leo asubuhi kuwa, mtu hawezi kupiga kura katika kituo ambako hayumo kwenyer orodha ya daftari la wapiga kura!!! Sasa sijui kama wasimamizi hawa wa uchaguzi nao wataleta mabadiliko gani ikiwa hata kupiga kura hawataweza???!!!
 
Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
 
babaangu ambaye ilikuwa ukiongea vibaya kuhusu CCM na alikuwa na wadhifa fulani kabla ya kustaafu leo hii kanambia mwanangu kura yako itendee haki Mpe DR Slaa .. naona kila mtu anahitaji mabadiriko ..namshuru babaangu kwa kulitambua hilo
Bravo!:A S-cry:
Nipe namba yake ya simu nim'dipu' anipigie!
Hawa ndio wazee wachache wanaowaza kwa vichwa!
 
Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
Broda kwani hujasoma threads zote za leo?
Kuna magari zaidi ya 10 ya JW yamepaki jirani na M'Nyamala Hospitali, wakisubiri amri kutekeleza lolote!
Sijui ndo hao ambao wana yale mabox ya kura za Mzee za toka huko Ngerengere jeshini?..not sure!
 
Bravo!:A S-cry:
Nipe namba yake ya simu nim'dipu' anipigie!
Hawa ndio wazee wachache wanaowaza kwa vichwa!
Yeomiiiii! Unambipuje mzee wa watu?
Kuna kitu nimegundua, watu wengi wanaohojiwa wengi, neno ''mabadiliko'' halikosekani midomoni mwao. Hicho ni kiashiria kuwa...(dash dash dash)
 
Huh! wapiganaji wamepaki hospitalini?...............Nini maana yake? hebu tujulisheni Dododma katikati ya mji kuko shwari ni jumapili kama jumapili nyingine!
DOM SHWAAALI. ILA UPINZANI UBUNGE NI HAFIFU SANA, URAIS NI SLAA TU. MI NISHAPIGA KURA YANGU KWA Dr WA UKWELI..
 
Back
Top Bottom