Nani kaona kijarida cha miaka 50 ya uhuru

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Pale mbele kuna picha za watu 6'
1.dr jakaya kikwete(raisi wa jamuhuri ya muungano)
2.dr ghalibu bilali(makamu wa raisi)
3.dr shein(raisi wa jamuhuri ya zanzbar)
4.mizego kayaza pinda(waziri mkuu)
5.malimu seif(makamu wa kwanza wa rais znz)
6.mzee kama niko right kwenye hili jina(makamu wa pili wa znz)
hoja yangu mbona hatujawahi kusiki mtanganyika kaongoza zanzibar o hata kuwa makamu wa raisi'

ukicheki hiyo listi vizuri zanzibar wana viongoz 4 tanganyika tuna viongoz 2'je kuna haki sawa hapo'idadi ya wazenji haifik milioni 1'tanganyika tuna watu mili 43 hivi kuna haki hapo''

swali jingine je wabunge wa zenji wanakaribia 100 je wanapokaa na kupitisha vifungu vya bajeti yetu ambavyo hafiwahusu mbona sisi watanganyika hatupo kwenye baraza la wawakilishi'

niishe hapo kwa leo
wenu katika ujenzi wa tanganyika yetu mpya
 
Yote hayo yatakwisha endapo siku Muheshimiwa Edward Lowassa ataingia Ikulu mwaka 2015.
Lowassa ni chaguo la Mungu.
 
................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mungu au mungu?????????????????????????????
 
chaguo la mungu wa mizimu na mafisadi au hebu nifahamishe zaidi

Dogo mi hapo nimemzungumzia Mungu.
Then we unakurupuka na kuja kunitajia mungu...
Hebu soma tena.
Ukishindwa wahi Darasa la mapema Januari la MEMKWA...
 
rudia tena kusoma bandiko lako wewe

Aisee mi nimeandika Muheshimiwa Lowassa ni chaguo la Mungu.
Then wewe unakurupuka na kuja kuniambia labda mungu wa mafisadi...

Tofautisha kati ya Mungu na mungu.
Na ndio maana nikakwambia wahi MEMKWA mapema mwakani.

Watakupa na ukilanja kwa kichwa chako kama kiko hivyo.
 
wewe ulioteshwa na mungu kuwa chaguo lake'msitake kuleta yale yale 2005 jk chaguo la mungu kipo wapi sasa
 
Ya Kaisari mpeni Kaisari.
Na ya Mungu mpeni Mungu.
Muheshimiwa Lowassa anasukumwa na Mungu ili awatoe ICU na awafikishe ktk nchi ya ahadi...

Inshaalah
 
kila mtu anaweza kutoa maoni yake so sikulaumu mkuu"eti sema tena chaguo la mungu
 
Yote hayo yatakwisha endapo siku Muheshimiwa Edward Lowassa ataingia Ikulu mwaka 2015.
Lowassa ni chaguo la Mungu.

Huenda kauli yako ina UKWELI ndani yake, ila mimi nakwambia kuwa, kwa kawaida tumezoea kuona MVUA ikinyesha tokea juu kwenda chini tokea enzi hizo. Sasa endapo itatokea Lowassa akawa RAIS wa nchi hii [simaanishi Kenya au Uganda, la hasha, namaanisha nchi ya Tanzania] basi siku hiyo MVUA itanyesha ikitokea chini [ardhini] kwenda juu [mawinguni]. Upo hapo!
 
Pale mbele kuna picha za watu 6'
1.dr jakaya kikwete(raisi wa jamuhuri ya muungano)
2.dr ghalibu bilali(makamu wa raisi)
3.dr shein(raisi wa jamuhuri ya zanzbar)
4.mizego kayaza pinda(waziri mkuu)
5.malimu seif(makamu wa kwanza wa rais znz)
6.mzee kama niko right kwenye hili jina(makamu wa pili wa znz)
hoja yangu mbona hatujawahi kusiki mtanganyika kaongoza zanzibar o hata kuwa makamu wa raisi'

ukicheki hiyo listi vizuri zanzibar wana viongoz 4 tanganyika tuna viongoz 2'je kuna haki sawa hapo'idadi ya wazenji haifik milioni 1'tanganyika tuna watu mili 43 hivi kuna haki hapo''

swali jingine je wabunge wa zenji wanakaribia 100 je wanapokaa na kupitisha vifungu vya bajeti yetu ambavyo hafiwahusu mbona sisi watanganyika hatupo kwenye baraza la wawakilishi'

niishe hapo kwa leo
wenu katika ujenzi wa tanganyika yetu mpya

Usitishike na uwingi, hao ni waume wawili wenye wake wane,wawili kila mmoja. Huyo pinda atachilimichwa kwa muda! Ha ha ha!
 
Yote hayo yatakwisha endapo siku Muheshimiwa Edward Lowassa ataingia Ikulu mwaka 2015.
Lowassa ni chaguo la Mungu.

Kama vile mdhaifu kikwete alivyokuwa "chaguo la mungu". Kweli Lowassa akiingia ikulu yote yatakwisha maana Tanzania itapotelea milele. Suluhisho hapa ni serikali tatu tu.
 
naomba turudi kwenye maada husika

majanikv: Mi naona haya ni muhimu sana yaingie kwenye katiba mpya ndiyo maana watu tunadai serikali 3 au 1 hizi 2 zina mapungufu mengi kama haya uliiyo yalist
 
hapo umenena mkuu serikali tatu ndo litakuwa suluhisho au serikali moja''maana naona kuna vyeo vya kutumalizia kodi tu
 
Back
Top Bottom