Nani kamwona 'striker' Shitambala?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Njaa mbaya sana:israel::israel::israel::loco::loco:

shik.JPG
 
Nasikia yupo Mbeya vijijini anaishi maisha ya kulindwa maana inasemekana Mbeya vijana wengi wanataka kuteketeza Malaya wote wa kisiasa.
 
Njaa mbaya sana:israel::israel::israel::loco::loco:

shik.JPG

Jamaa aliahidiwa Shs 200,000,000 wakampa advance ya Shs 30,000,000 na mpaka sasa hiyo balance hajapewa. inasemekana ameanza kujuta kujiondoa Chadema na ana mpango wa kuomba msamaha ili arudi. Vile vile wateja wake wengi walimkimbia baada ya kugundua kuwa ananunulika kirahis, hivyo angeweza kuuza kesi zao, na hivyo amebakia kugonga mihuri ya mikataba
 
....Msomi unapokuwa na PRICETAG unakuwa hauna tofauti na wale akina dada wa Ohio.
 
Njaa kali mh ilimgarimu,. Aludi kwa makamanda aneza pata hata kiyongoji uchaguzi ujao wa serikari za mitaa
 
Njaa kali mh ilimgarimu,. Aludi kwa makamanda aneza pata hata kiyongoji uchaguzi ujao wa serikari za mitaa

Ameshapoteza imani kwa watanzania huyo.. Alichokifanya yeye ni kosa ambalo haliwezi kusamehewa hata kidogo.. Na kama aliweza kununulika mara ya kwanza.. Ataweza kununulika hata mara mia.. Hiyo ndio Law of corruption.. Once corrupted ndio imetoka hiyo.. For the rest of his life..
 
Najiuliza kwanini mleta thread amemwita mshambuliaji! Sidhani kama bado anastahili!
 
Back
Top Bottom