Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Nakuunga mkono sana. Uongozi (Leadership) si kitu kidogo. JK anaongea kama kiongozi wa nchi hivyo anapashwa kuwa makini sana. Umakini huja tu kama utajali unaowaongoza lakini kwa viongozi wengi Afrika ukweli ni kuwa hawana kuwajibika kwa wananchi hivyo hawajali kabisa kama wanaogea nini au kama wanaweza kuwakwaza wengine. Hata kama watakosea ni aghalabu kuomba radhi.
Kuhusu kama JK anawasikiliza washauri au la si muhimu sana uki-refer usemi JK wakati ana-address swala la wafanyakazi kuwa na akili kama za mbayuwayu. Hivyo kama anashauriwa na achanganyi na akili zake hilo ni tatizo. TZ tunazo changamoto kweli kweli.